Cigarette or tobacco addiction is a disease which requires multiple or dual attempts to stop. Like wise the people are different, their capabilities to adopt with situations are also different...
Hamjambo wadau, Nina kawaida ya kutumia laptop usiku huku nikiwa nimezima taa, Nimewahi kusikia juu juu kuwa ukitumia computer gizani kuna madhara kwa macho, Kuna ukweli juu ya hili? Ninaomba...
Stress caused from life changes have an amazing influence on whether or not we are able to keep our balance and health in check. Unfortunately, it isnt always negative stress that does this...
Wakuu,
Naomba nisaidiwe. Mimi kimaumbile ni mnene na mzito. Siwezi kufanya mazoezi kwa sababu bado naugulia maumivu yaliyotokana na kuvunjika mguu. Siwezi kabisa kukimbia. Nitumie njia gani ili...
Bananas 'may be key to fight Aids'
4 hours 36 mins ago
Bananas may hold the key to powerful new treatments that protect against the Aids virus.
Enlarge...
Leo asubuhi nilipoamka alfaji kujiandaa kwenda kazini kuzunguzunga kilinishika kama nimeamka na pombe.nikajitahidi nikaondoka kwenda kazini lakini mguu ukawa mzito nauburuza nikiuwekea umakini...
hivi ukiwa ni mtu wa kwenda gym na kufanya
mazoezi kwa ujumla,halafu na una sex mara kwa mara
inakuwaje?????
ushauri wa kitaalam unasemaje???????
kwa mfano umetoka gym na umechoka
unafika home...
New research confirms that the key measure of a person's health isn't weight, it's body fat.
by Erin Hobday, SELF
Find more
Your health is not measured by pounds alone! New research...
Brain scans beat chance at identifying specific memories, scientists report.
By Jenifer Goodwin, HealthDay Reporter
Mind reading may have taken a step away from the realm of science...
TAFADHALI SOMA HAPA,KAMA WEWE NI DOCTOR USAIDIE KWA MAWAZO...
I find that people react strangely when I'm present. It been almost 3 year since i made this connection. People would start...
Nimepata kusikia kuwa magamba ya mti wa mwembe ni kinga dhidi ya magonjwa kama malaria n.k.
Maelezo niliyopata ni kuwa ukichemsha magamba ukanywa maji yake au ukisaga magamba makavu ukanywa maji...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwa amelazwa katika hospitali ya Shree Hindu Mandal jijini Dar es Salaam jana. Seif amelazwa hospitali hapo tangu Ijumaa...
Na Jumbe Ismailly,Singida
Kituo cha afya cha Sokoine,kilichopo katika Manispaa ya Singida kinakabiliwa na tatizo la kuwa na mbu wengi nyakati za mchana,hali ambayo hutishia wagonjwa wanaolazwa...
I know genetics play a big part in weight and height. But what are the probability of toddler who is overweight in the first 2 years becoming of normal weight.
None of the parents overweight...
Linaeza kuwa swali la kijinga, lakini kiukweli linanitatiza. na ni muhimu kwangu na watoto wangu, na huenda hata baadhi yenu.
Naomba majibu mujarabu ya kitaalamu,
Je ni muda gani optimum wa...
Naomba msaada
kucha zangu za miguu zinakuwa ndani ya nyama, ingrown, wanasema. Zina maumivu sana na madaktari waliniambia nifanye operasheni ya kuzitoa... nimetoa mara mbili lakini wapi, zinakua...
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.