Walaji wa nanasi pori t**go athari zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walaji wa nanasi pori t**go athari zake

Discussion in 'JF Doctor' started by upele, Jun 16, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WANA JF NAWAKUBARI SANA KWA MAADA ZENU SASA HILI NAONA LITAKUWA LINAFAA SANA KWANI SASA IMEKUWA NI KAWAIDA YETU WANADAMU VIPI NANASI PORI LIMEKAAJE
  KAZI KWENU MADOCTOR WA JF TUJUZENI
  CONQUEST-hakuna lolote joto linawasumbua ili hali hakuna anaeweza kula cha moyo mpaka apoze
   
 2. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mnanasi Pori is Sodomy, sin and the greatest abomination in all religions!

  Kiafya ni kitendo cha hatari, kwanza hatari ya kuambukizwa magonjwa mbalimbali kwa sababu ya upatikanaji kwa wingi viini vimbuzavyo katika maeneo hayo kuliko sehemu yeyote ya mwili! Pili michubuko itokanayo na msuguano inaweza kuwa ni chanzo cha maumivu makali na kubwa zaidi UKIMWI na CANCER

  Uchunguzi pia unaonyesha tigo ni kati ya vitendo wanawake wasingependelea kukifanya kwa sababu ya maumivu na kutojisikia wala kukifurahia! Huenda wanatoa tigo kwa sababu ya kuogopa kukimbiwa masikini!

  Mwisho kabisa si kila tundu lafaa kuchomeka chomeka lina kazi yake maalum kabisa!
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ....kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, wafuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Warumi 1 : 24. .....Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi yao ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili. Warumi 1 : 26  usijifunze kwa mwanadamu mwenzio na elimu zitoazo faida sehemu yenye hasara bali pia angalia na Mungu anasemaje jaribu kuisoma hiyo mistari hapo juu, kwa makini
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ...wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke ya asili, wakawakiana tamaa waume wakiyatenda yasiyopasa nafisini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Warumi 1 : 27  Jifunze kwa Mungu zaidi, mwenye dhambi atakuletea elimu yenye kukufurisha na Mungu, fuata makusudi ya Mungu
  kama alikupa miguu ili uitumie kwa kutembea, vipi utake kutembea kwa kutumia kidevu?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  thanks Broda
   
 6. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  i like it!!!!! Senki yu veri machi!!
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  well, together we'll plant a good seed, so as to reap what i'll be best to other
   
 8. upele

  upele JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mungu awabariki kwa wote na wana jf wote lakini cha ajabu hao hao wenye ndoa zao sijui ni shetani au vipi utasikia nae anakula nanasi sasa ni nini hasa kwa wana ndoa hawa kwa kweli inatubidi tuwaelimishe binadamu wenzetu kwa hali ya juu pia hasa hawa wanafunzi wa elimu ya seconday nao ni maarufu sana kwa hili naona ipo haja ya kuanzisha elimu ktk hili na sio kuanzisha vyuo vya ulembo,bado nchi inahitaji msaada kwa watu na sio kupotosha jamii na watu.
  pia hii misemo ya wanawake na dada zetu kwamba samaki huliwa pande zote sio vizuri na wengine husema kabisa mwanaume asiekula nanasi hakupendi tobaa nasikia uchungu wana jf niwahi kusikia jamaa kaambiwa na mkewe leo nataka kukupa zawadi mzuri mumewangu masikini ya mungu jamaa alikuwa haelewi ni nini basi ilipo fika wakati basi kwa bahati mbaya au mzuri si yule mkewe akampa nanasi na mahabaa ya mwanamke yule ilikuwa ni vigumu kwa mwanaume kuelewa nini kinaendelea ila ilipo fika asubuhi alikuwa na mashaka yale ya jana baada ya kusikia mazungumzo ya watu fulani kuhusu nanasi masikini jamaa akaja kufahamu kwamba ile zawadi aliopewa na mkewe ni nanasi maana alikuwa anasikia utamu tofauti na ule aliozowea.
  SASA WANA JF TUANGALIE HILI KTK NDOA ZETU.
  cONQUEST-Dunia inaenda kombo tujiandae na hukumu
   
Loading...