Utibabu wa Maradhi Ya Cancer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utibabu wa Maradhi Ya Cancer

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Jun 17, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Utibabu wa maradhi ya Cancer kwa kutumia Pili pili (kali sana) pamoja na kitunguu Thom
  Piliipili 2 kali sana – Africa itakuwa ni pilipili mbuzi, za Uganda.
  Chembe 2 za kitunguu Thom
  Njia ya utumiaji:
  Saga hizo pilipili 2 na chembe 2 za thom sawasawa.
  Chukuwa mkate wa ngano nzima (Whole meal brown bread), utie katika toaster uwe mkavu, upake siagi (siyo margarine ya aina yoyote bali siagi ya maziwa ya ng’ombe). Paka mchanganyiko wa pilipili na thom juu ya mkate uliopakwa siagi.

  Kila usiku ule mkate mmoja huo, watu wengi hupata natija katika muda wa wiki mbili. Ikiwa hujapata na unaona iko faida, endelea kutumia mpaka ufanikiwe.
  Watoto wadogo na watu waliokuwa hawaiwezi pilipili hiyo wanaweza kujaribu kutumia kipande kikubwa cha tangawizi mbichi, wakakisaga na kufanya hivyo hivyo.
  Hii njia imetokana na daktari maarufu aliokuweko amerika na aliwatibu watu wengi katika miaka 60 aliokuwa akifanya kazi. Kuna mtu alioandika kitabu kuhusu haya maelezo na maisha ya huyo daktari, alipatwa na cancer stage 4 (ya mwisho, kubwa) na akajitibu kwa muda wa wiki mbili. Kitabu chake kinaitwa “ the doctor who cures cancer”

  Mgonjwa wa Cancer aache au atumie kwa uchache vitu vifuatavyo:
  1. Sukari
  2. Unga mweupe
  3. Mafuta yeyote isipokuwa ya zaitun, mafuta safi ya nazi au mawese.
  4. Margarine
  5. Chumvi iliosafishwa kiwandani, atumie chumvi yam awe (aisage nyumbani).
  6. Vyakula viliokuwa processed and refined.
  Vitu muhimu kufanya daima:
  1. Istighfaar kwa wingi. (kama ni mkristo atubu kwa Mungu wake.)
  2. Kuisoma Quran kwa sauti na utulivu. (kama ni Mkristo asome Biblia kumuomba mungu Amsaidie matatizo yatoke)
  3. Kunywa maji ya kutosha (japo lita 3 kwa siku)
  4. Usifikiri maradhi fikiri Shifaa, inshaallah Allah atakupa hiyo ( shifaa) maana yake Kupona au kuponyeka kwa hayo Maradhi.
  5. Kula salad kwa wingi, baadhi ya matunda kama papai, nanasi, avocado.
  6. Kuroweka Lozi, Brazil nuts katika kikombe cha maji usiku, kuyamwaga hayo majibu asubuhi na kula hizo brazil nuts na lozi. Muhimu kuwa ni mbichi siyo ziliokuwa zimepikwa kabla. Fuata hayo maelezo kwa kila Mgonjwa Cancer inshallah utapona,
  Ya Allah waondoshee maradhi yote kila waliokuwa wagonjwa, amin.
   
Loading...