Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Nicko, Jun 20, 2010.

 1. N

  Nicko Member

  #1
  Jun 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari ndugu wana jamiiforum..Naomba niulize swali,hv inachukua dakika ngapi kwa mwanaume alie rijali kuanza tendo la pili la ndoa baada ya kufika kileleni mara ya kwanza.Mara ya mwisho imenichukua kama dakika 12 hivi ili mzee ainuke tena.Hii ni hali ya kawaida au ni matatizo haya,maana nikimaliza tendo la kwanza ambalo ni la mda mfupi sana nakosa hamu kabisa namuona mwanamke kama takataka
   
 2. n

  nndondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  hawa ndio exactly wapumbavu wanaotumiwa ku re direct struggle za watanzania naomba wahusika wamtoe humu na kumpa contacts za global publishers. what makes you think your stupid bedroom crap is our national priority? you mean tuache mjadala wa mgomea mwenza na umaskini wa watanzania sababu wewe huwezi kufanya matusi? WANA JF if you dont start dealing with these people tutawaachia jukwaa lenu muendelee na hii mijadala.
   
 3. N

  Nicko Member

  #3
  Jun 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndio maana kukawa na forums mbalimbali,na i think u do not understand why Jf Doctor is here for..unawezaje kujadili masuala ya mgombea mwenza au umaskini kwenye Jf doctor?..wakati kuna forums zingine special kwa hizo discusions?
  "please do not criticize what you dont understand"
   
 4. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Punguza kasi mkuu! otherwise you are more stupid, maisha sio siasa pekee ndio maana JF ina categories mbali mbali, kama wewe kwako maisha ni siasa pekee basi kila siku ishia kule juu, huna haja ya kushuka kwenye threat za huku chini wakati zinakuchanganya akili na sasa unaonekana kama hujui ulisemalo, hili ni jukwaa la great thinkers, ndio maana kuna kila kitu including jokes.

  Kwa kuwa wewe ni mwanasiasa wa kale unaweza kudhani kuwa jokes hazina maana humu!, hata huyo aliyepeleka suala la mgombea binafsi mahakani anajali afya yake ya mwili na mapenzi, kwani nini uone threat ya mwenzio ambayo inahusu afya kuwa ni upumbavu. If this is your mentality, then is better you quit JF
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  duh! mkuu wamekunyima form ya kugombea ubunge jimboni nini? yaani unaingia JF doctor unataka watu wajadili Mgombea mwenza wa kikwete? hehehehe hii post ya jamaa nashauri mods kama inawezekana waipendekeze kwenye GUINESS record.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mkuu ningependa kukujulisha kuwa hapo kwenye bluu ni wewe, kwenye nyekundu labda ungetoka wewe umuache nicko ingekuwa bora zaidi, hapo kwenye brown iko kama umeachika vile...punguza munkari.....kwenye pink JF umeikuta na ingekuwa bora ukatuachia tuendelee na mijadala yetu....nadhani sijakukwaza...he he
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nadhani mkuu utakuwa ni mgeni sana hapa jamvini yaani umeshindwa kutofautisha forum gani uliyomo? Unataka tujadili siasa kwa JF Dr kwani hazitutoshi? Angalia vema forum mkubwa hapa zipo nyingi kama Siasa, Kimataifa, Michezo, Dini, Ya wakubwa, Muziki, Maceleb nk sasa unataka tuombe ushauri kuhusu michezo kupitia Jukwaa la imani? Au tujadili siasa kupitia Mambo ya wakubwa? Nadhani utakuwa umedandia gari kwa mbele au hasira zako za kifamilia au kwingine umezihamishia jamvini. Best, this forum is global only that you are local!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Waweza kwenda au kutoka. Jukwaa hili limekuwepo kabla hujalijua, lipo na litaendelea kuwepo hata bila wewe. Kwa posts zako hizo sijui mia impact yako ni muhimu ndiyo lakini ni NDOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOgo sana!
   
 9. N

  Nicko Member

  #9
  Jun 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wandugu asanteni kwa kunisaidia,huyu jamaa sure kaniboa..huwezi kuamka nyumbani umegombana na familia then unaleta hasira huku JF..sure there is time for everything,jamaa kakurupuka tu.
   
 10. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Uncle, kuna uwezekano mkubwa ukawa na ishu ya kisaikolijia, lakini kirijali wewe ni mzima. Kuhusu muda gani mtu anachukua kati ya round, hilo linategemeana na mambo mengi pamoja na msisimko ulionao siku hiyo, na mazingira pia.

  Ila, nachotaka kukwambia ni kwamba, ukiwa katika yale mambo, ukiwa unawaza kuhusu ni saa ngapi mzee anaweza kuamka inaweza kukusababishia uwoga, ikasababisha mzee asiamke kabisa na kutamani uondoke. Hili ni tatizo linalowakuta watu wengi, hasa hasa unapokuwa mgeni kwenye yale mambo.

  Unachoweza kufanya ni kujiamini na kujaribu kuwa pamoja na mpenzi wako (kihisia). Mimi pia lilishawahi nikuta nilipokua na shem wako wa kwanza, ila nilipata ushauri na likaondoka mara moja na baada ya hapo shem wako alikua akiomba maji.

  Kutoka na wewe kusema mara ya kwanza ilichukua dk 12, inaoneka ulikua umeliweka sana hilo kichwani kiasi cha kuhesabu muda (sina uhakika kama ulikua na saa kama refa) na ndio maana linakusababishia matatizo. Wakati mwingine inaweza kuchukua hata saa nzima, na siku nyingine isilale kabisa, hivyo raundi moja na mbili zikaunganika bila mzee kulala, me yote haya huwa yanatokea, cha msingi ni kujiamini kuwa wewe ni rijali tu hata kama haitasimama tena siku hiyo.
   
 11. N

  Nicko Member

  #11
  Jun 21, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kaka Ramthod asante sana kwa ushauri ,nadhani sasa nimekupata..
   
 12. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wacha panick mjomba. Kwani mavuvuzela yanapulizwa hadi unapoteza concetration? Taratibu ndio mwendo otherwise utaumbuka
   
 13. Engineer2

  Engineer2 Senior Member

  #13
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Safi sana Preta, watu wengine hovyo hovyo tu.. yaani haangalii hata heading the jukwaa
   
 14. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mavuvuzela ndo nini?
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  vuvuzela ni...:horn::horn::horn::horn:
   
 16. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha ndondo a.k.a maharage mpaka unafikisha posts 110 hujajua bado ettiquette za hapa jamvini na ni huzuni kubwa hauko peke yako.
   
 17. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanx
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kuna wadau wawili kwenye jukwaa hili nao wanahitaji msaada. ni isimilo na mzizimkavu. mbona inakuwa ngumu kuchangia hoja zao na kuwapatia misaada au ushauri na inakuwa rahisi kutoa ushauri juu ya mambo ya ngono tu? nawe niko kama unaanza na hofu kwa umri wako je ukigonga forty si utaanza kutafuta mchawi? nimesema umri wako si kama nakujua bali ni kutokana na mtiririko wa mada
   
 19. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  [/QUOTE]
  mzizi mkavu
  picha zako na maelezo yako.,leo mshikaji wangu ambaye ni mtaalamu wa nyuro alikuja kunitembelea na nikamwonyesha suala lako,.ameshindwa kutoa maelezo au maswali elekezi sababu ya picha zako,.sasa weka picha halisi,.kama unazo hasa hiyo mri ya mgono na ukiweza chest x ray na vipimo vya damu.,ugusie machache ya madaktari wa fani husika walisema nini,...mshikaji ataanzia hapo [picha ya uti wa mgono na maelezo yako haviendani,.una umri mdogo mno ukilinganisha na stage ya picha uliyoweka]
   
 20. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Too much abusive languages JF now .,Mtu anauliza swali,.ukijaribu kutoa elimu au ushauri zinakuja criticism za ajabu,.wakati mwingine mtu anaongea to the best of his Knowledge,. wengine wanatoa maelezo kwa mujibu wa tafiti husika directly au indirectly.,lakini lugha zilizobebwa na thread za kejeli zinafuata.,
  beleave me kujibu vitu hapa unahitaji,.uchambuzi na hata kusoma kidogo au kuulizia kwa wenzako
  lakini post ZIJAZO CHINI
  discouraging ones kwa mtoa maelezo,.. nani ataendelea kupoteza muda ?NDIO MAANA WENGI WANAPOTEA,wa watoa majibu wa mwanzo wamepotea
   
Loading...