Wanaume kunyimwa makalio ni laana ama bahati mbaya??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume kunyimwa makalio ni laana ama bahati mbaya???

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Jul 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,543
  Likes Received: 5,754
  Trophy Points: 280
  Wapendwa tusaidiane kidogo mbona madada wengi wamejaliwa hizi sehemu lakini ukija kwa wanaume kweli wengi wamepata bahati mbaya ya kuwa bapa ama mbinuko kabisa
  swali langu ni utengenezaji kwenye uumbwaji ama ni laana kwa wanaume ...iweje mtoto mdogo aanze kuchanua gafla wakati jitu lizima linakula pombe na kiti moto kila siku akiwa bapa...
  masaada
  kumradhi kwa wenye@#$%^i
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  manundu makubwa... unajipenda mwanawane..?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,543
  Likes Received: 5,754
  Trophy Points: 280
  Yalaaaaahhhh wa shababi!!!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  SAMSON haya ndo maswali gani kuwauliza ma geat thinkers ...
  Nasikia Hangover :argue:
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wale wanaosema JF imefulia nadhani samtaimu wako sahihi. (heri mimi sijasema!)
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Samsoni wewe una makalio makubwa au madogo au bapa kabisa????
   
 7. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa aliyeleta mada hii nafikiri atakuwa abnormal, huwezi kwa mwanaume ukalilia kuwa na makalio makubwa for what, leteni mada za maana na siyo upuuzi wa hovyohovyo
   
 8. l

  luhongedzo Member

  #8
  Jul 1, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maaan u need to focus instead of being stupid:mad::mad::mad::mad::mad:
   
 9. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unataka wanaume wawe na makalio makubwa ili iweje ?.
  Mwenzetu mtu wa Pwani nini ?.
   
 10. l

  luhongedzo Member

  #10
  Jul 1, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua mra ya kwanza nilikuwa sija lisoma jina lako vizuri ila sasa nimeelewa kwanini unaongea utumbo
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,375
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na wasiwasi na dini yako lakini kama unaitwa samsoni hata kama ni ya bandia basi nashikwa na bumbuazi...aka sikuelewi ulifikilia kitu gani mpaka kuamua kuweka uozo huu hapa jamvini
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kasi ya ushoga inaongoza kwa kasi kubwa sana sijui kwa nini. Na siku hizi wengi wamejua matumizi machafu ya internet ndio basi tena
   
 13. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Msameheni bure huyo, ndani ya Jamii yeyote ile watu kama SamsonMalila wapo? Ni mawazo yake labda kuna research anafanya...
   
 14. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora na wewe useme. Kuna topic za ajabu ajabu hapa mpaka unashangaa. Halafu ndiyo zinachangiwa sana, angalia hii itavyochangamkiwa. Kweli Mitanzania ndivyo ilivyo! hovyoooo!
   
 15. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 16. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 17. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mfalila,kichwa cha mada yako ni kizungumkuti aka OVYO. Kinyume cha laana hakiwezi kuwa bahati bali ni baraka. Kinyume cha bahati ni mkosi.
  unapotengeneza sentesi yenye matumizi ya ..... au .... basi hakikisha hilo neno la pili ni kinyume cha la awali kabla ya au.
  kwa nini wanawake wako hivyo na wanaume hawako hivyo , hebu jitaabashe kidogo kwenye kusoma vitabu mbalimbali katika mada ya "Vichoche na "Uzazi" [ hormones and reproduction]
  Umenielewa eeenh!
   
 18. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  SAMSONI kuwa MAKINI HUMU J,.F,.nimesoma post ZAKO TAYARI PICHA ya JIRANI IMENIIJIA,,..wewe ULILELEWA Kwenye Kwenye makuzi ya MWANA sheria WA ENZI za NYERERE na baadaye akapelekwa ZIMBABWE kikazi au sio.,.alikuwa mwanza ?
  KUNA mshikaji wangu alikuwa anasumbua ambaye ni mwanaume ,kuwa anasumbua sana kwa kuataka awekewa baloon kwenye makalio,...mwingine yupo jirani yangu ,.yeye kila siku anajisifia makalio yake yalivyo makubwa ,.kuwa ndio yanayowachanganya kinadada na kucheka wanaume wengine,.lakini gundu limemshika juzi kasahau kufunga mlango watu wamemkuta anapumuliwa kichogoni,.fikiri vema kabla ya kusema ,,...ulisoma NYAKAHOJA au ndio mambo ya shule KATOLIKI?
   
 19. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MTOTO wa JAJI ,.Samsoni vipi wewe ni zimbabwe au MAMTONI,...du,..NA sasa ,,....MHH nashindwa kuamini
   
 20. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  aaaaah! Dini yake ina uhusiano gani na post yake?
   
Loading...