Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mie na mmbongo mwenzangu tuko mji mmoja hapa Ghuba, shughuli yetu ni 'maboxi'. Tunaishi kwenye shared apartment, tupo wabongo 2, mhindi na mhabeshi. Mwenzangu jana kapata 'ajali'. Hawa housemate...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nasumbuliwa na vipele vidogodogo kwenye uso wangu naombeni msaada wenu nitumie nini ili niviondoe kabisa?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
How to get a good night's sleep: Keep a regular schedule. Go to bed and get up at the same time every day, including weekends. Good habits, like eating a healthy diet and getting regular...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jukwaa!! Mimi nina mtoto ana umri wa mwezi mmoja na nusu. wiki tatu zilizopita alitokewa na layer fulani hivi mdomoni as if amekunywa maziwa yaliyoganda. Nilimpeleka kwa wataalamu wakampa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ONE WOMAN'S STORY ON SOYA...INTERESTING FACTS Pls pass this info to your female friends........Something to take note of. This is my true story, nothing altered. These are facts, as...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF! Heri ya mwaka wa Twenty Eleven. Hili jambo la ulevi haswa wa pombe na madawa ya kulevya n.k Nimeona kuanzia dini mbali mbali hata serikali wanalipiga vita kwa nguvu zote. Ajabu japo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa, kwa wanawake wanaotumia aina yoyote ya dawa/mafuta ya nywele huku wakiwa wajawazito,wanahatarisha usalama wa watoto watakao wazaa/jifungua, kwani inasemakana kuwa ni rahisi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana kwa kuanzishwa kwa vyuo mbali mbali nchini kwetu. kweli ni jambo jema kabisa na la kujivunia, lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa kuna vyuo vingi tu ambavyo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi,nilikuwa naomba ufahamisho,hivi ni kwann binadamu tunapga chafya?na je? wanyama nao wanapga chafya.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Doctors call for fat crash test dummies after study finds obese are more likely to die in car accidents Last updated at 12:57 PM on 22nd December 2010 Obese drivers are more likely to die...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jf Dr. Kutokwa na machozi pale mtu anapocheka au kuwa na furaha sana ni tatizo au ni hali ya kawaida tu ? Naomba ufafanuzi ndg wapendwa.
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wana JF doctor nisaidieni kidogo, i am away from home for 7 months now, my GF we meet thru phone, ila kuna hali inazidi kwangu kuanzia saa 10 usiku uume unasimama kweli unakuwa mrefuuuuu hadi 12...
0 Reactions
29 Replies
18K Views
Heri ya mwaka mpya madk wote ambao ndio wasaidizi we2 tukutwapo na matatizo,nilikuwa naomba kujuzwa hivi SIKIO hufanyaje kazi yake?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari hii ni kwa Hisani ya Facebook page ya Dr.Isangula Ni vema wana JF Tujadili mawazo ya Daktari huyu. Inapatikana katika http://www.facebook.com/note.php?created&&note_id=117205398345042...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wasalaaaam wana jf wote na poleni na shughuli za kila siku. Jamani naombeni msaada wa kitaalam, eti kati ya sigara na pombe kipi kinamadhara makubwa zaidi katika afya ya mtumiaji? Long term...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu madk bingwa,nilikuwa naomba kufahamishwa,hivi ni kwann binadamu tunapiga miayo na je? wanyama wengine nao hupiga miayo
0 Reactions
5 Replies
7K Views
WanaJF nifanyeje niwe na bass maana cjui niliruka stage kipindi nabarehe maana sijawahi kuwa na bass la kunguruma kama simba,nimejaribu kumeza mayai mabichi ila wapi,plz anayefahamu dawa yoyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambozz Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile Nataka nimnunulie kama zawadi any medication...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
To reduce your risk of cancer, look no further than your fridge. "All the studies on cancer and nutrition point to eating plant-based foods for their phytonutrients and other special compounds,"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ewe bainaadamu, tazama video hii hapa chini uone jinsi ulivyoumbwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom