.......ni rahisi kemikali kupenya kwenye ngozi ya kichwa ......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.......ni rahisi kemikali kupenya kwenye ngozi ya kichwa .........

Discussion in 'JF Doctor' started by TUJITEGEMEE, Jan 3, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kuwa, kwa wanawake wanaotumia aina yoyote ya dawa/mafuta ya nywele huku wakiwa wajawazito,wanahatarisha usalama wa watoto watakao wazaa/jifungua, kwani inasemakana kuwa ni rahisi kemikali iliyoko kwenye dawa/mafuta hayo kupenya kwenye ngozi ya kichwa na kufikia kiumbe kilichoko kwenye mfuko wa uzazi wa mjamzito, na kemikali hizo kuhathiri vinasaba vya kiumbe hicho.JFDr. naomba unipe ukweli kuhusu tetesi hii.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmh sijawahi kusikia ila kama ni kweli inabidi wamama wawe waangalifu haswa!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  According to research ambazo zimefanywa hakuna proof ya kwamba hii ni kweli.... Kwenye extract moja niliyoipata kwenye mtandao absorption ni ndogo sana labda kama ukiunguzwa na dawa....

   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  junk science
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si wakati wa mimba tuu, tena dawa zenyewe zinaathiri mishipa ya aibu. Kama unabisha tazama hawa madada wanaotia dawa za kichwa kutaka kujifanya wahindi, maana uzungu bado! Utakuta hawana aibu, nguo zinaonyesha mpaka vikufuli au maumbo yao ya ndani bila wasi wasi. Nakubaliana na wewe, hizi dawa za kutaka uhindi na uarabu zinawa athiri sana.
   
 6. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  naungana na wewe mkuu,,ngoja nisubiri madaktari watuambie chochote tusaidike.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bad Hair Product Ingredients

  Isopropyl alcohol - Can be found in a multitude of hair products, especially hair rinses and finishing sprays. Isopropyl alcohol is used to give hair more shine, but over time, it can be very drying. (It’s a petroleum based substance that is commonly used in wood lacquer and antifreeze.) It can cause headaches, dizziness, nausea, and coma.

  Sodium Laurel Sulphate (SLS) and Sodium Laureth Sulphate (SLES - A base surfactant which makes shampoos lather, and can be found in approximately 90% of all shampoos and even in some conditioners. Your hair is made of keratin/protein and is affected by SLS and SLES. Both can lead to unhealthy hair and inhibited hair growth, which contributes to hair loss.

  DEA(diethanolamine) and MEA (momoethanolamine) - Often referenced as Cocamide DEA/Mea and Lauramide DEA. These chemicals disrupt hormones and have been shown to form cancer causing nitrates and nitrosamines. They are fairly common in most shampoos. A study at the University of Illinois found that repeated use of DEA detergents may increase liver and kidney cancers.

  Propylene glycol - Propylene glycol is a surfactant or wetting agent, and a solvent. It’s used as an emulsifier in creams, body washes, shampoos and conditioners?. It is a synthetic petrochemical that initially, makes hair look smoother. Over time, it can completely obliterate hair.

  Polyethylene glycol - A petroleum based product that's also typically used in oven cleaners.

  Fragrance – Hair product that list 'fragrance' on the label can contain up to 4,000 different ingredients, most of which are synthetic. Symptoms of fragrance toxicity include headaches, dizziness, rashes, skin discoloration, violent coughing and vomiting, and allergic skin irritation. Studies have shown that repeated exposure to fragrances can affect the central nervous system, cause depression, hyperactivity, irritability, inability to cope, and other behavioral changes.

  Formaldehyde - Probably one of the worst offenders of all hair products ingredients, it is commonly used in shampoos, and conditioners as an inhibiting agent against carcinogenic nitrosamine production. Yet, formaldehyde is carcinogenic by itself. It can easily penetrate the skin and can cause serious long term health concerns and hypersensitivity to other chemicals. It can seriously weaken immunity and can cause cancer. It also causes allergic reactions, headaches, and chronic fatigue.

  Imidazolidinyl urea & DMDM Hydantoin - Are preservatives that release formaldehyde. Nearly all hair products contain these chemicals, and are terrible hair products ingredients!

  Parabens - Preservatives used to inhibit microbial growth in hair care products and are known to be highly toxic.
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kha umeniacha hoi kwa kicheko. Maneno yako yanaweza kuwa kweli lakini mimi naona wengi ni wale wanaotia zazu. tehetehe.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tukiongelea to that extent Hakuna I mean Hakuna Dawa ambazo hazina Side Effects.... Kila dawa unayotumia ina madhara yake....

  Now in science mambo yanakwenda kwa proof na experiments.... kwahiyo kuhusiana na swali hapo juu research ambazo zimefanywa ni kwamba absorption inayofanyika mtu akiwekewa dawa kichwani ni ndogo na haifiki kwenye placenta. Ila wanashauliwa wale ambao wanafanya kazi saloon kuvaa gloves, after all these are chemicals.
   
 10. Ngoreme

  Ngoreme Senior Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah nachanganyikiwa kwa sababu wale wanaotumia hawazuliki kwa kuwa haifiki kwanye placenta na wale watenda kazi wavae glooves sasa duh wapi ni wapi basi wote hawadhuriki au wote wanadhurika (wote magzanyande)
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hizi ni kemikali... kwahiyo mtu anayefanya kazi kwa kushika hizi kemikali kwa muda mrefu (high dosage) ni kwamba mikono yake ina high exposure na ni kwamba yeye dosage yake itakuwa kubwa kuliko yule anayewekewa kichwani.

  Lakini kama nilivyosema every medicine / chemicals has side effects inside the body it depends na dosage... Lakini connection ya hizo chemicals kutoka kichwani hadi kwenye placenta.. according to all researches until now haipo.
   
Loading...