Vipele usoni

Bwana Yusuph salehe hujawa moja kwa moja kwamba hivyo vipele ni chunusi au la, sasa ungetupa maelezo kidogo maana vipele vinaweza kutokana na allergy au vi2 vingine unavyopaka usoni, njia nzuri ya kuondoa vipele ni kuviacha vyenyewe vijiondokee kwa sababu ngozi huproduce antibodies ambayo huondoa hivyo vipele, Tumia medicated soap kama vile Dettol, protex sabuni hizi huweza kuuwa bacteria wanaosababisha hivyo vipele, pia waweza ku2mia any facial cleanser ili kuruhusu vitundu vya hewa kuwa wazi
 
Back
Top Bottom