vyuo vya udaktari nchini havijulikani?

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
47
Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana kwa kuanzishwa kwa vyuo mbali mbali nchini kwetu. kweli ni jambo jema kabisa na la kujivunia, lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa kuna vyuo vingi tu ambavyo tangu vianze sasa ni miaka karibu kumi mfano Hurbet ,Bugando na vingine kibao tu havina recognised by WHO Directory board.
Tatizo hapa ni uzembe wa viongozi wetu maana kuna vitu vingine havisubiri kufuatwa bali ni ku- act wenyewe.

WHO says:
The WHO Department of Human Resources for Health, in collaboration with its partners, has been compiling information on education and training institutions for health workers around the world. WHO received the following information on medical schools from the governments of its Member States for the updates to the World directory of medical schools (base year 2000). This information covers the period through December 2007, and constitutes the final updates of the World Directory, before its incorporation into the new "Avicenna Directories" global directories of education institutions for health professions.

The new global database "Avicenna", developed in collaboration with the University of Copenhagen, replaces the directory of medical schools and is expanded to other health professions starting with pharmacy and public health schools. All data on the former World Directory and its updates will be included in this new database.

Readers are reminded that WHO has no authority to grant any form of recognition or accreditation to schools of medicine or other training institutions. Such a procedure remains the exclusive prerogative of the national government concerned.

SASA ONA VYUO VINAVYOJULIKANA NI VIWILI TU HIVI HAPA
 
Ndugu Mallaba, una hoja nzuri sana hasa kwa wanaoanzisha vyuo bila mpangilio. Nikukumbushe kuwa UDSM haikuanza kama Chuo kikuu bali kama college of East Africa University. Hii EA Univesity ilianza kwa kuwa Clollege of London University(kama nipo sahihi kwa London).
SUA haikuanza kama SUA bali UDSM Faculty then College of Agriculture. Muhimbili ilikuwa College of UDSM hadi hivi karibuni.
KCMC ina affiliation na Chuo Kikuu kimoja maarufu cha Ujerumani. Ili Chuo kipate hadhi ya kutambuliwa kuna mambo kama Research, Professors, Students, Facilities vinaangaliwa. UDSM inajulikana Duniani kwa kupitia watu kama kina Nyerere (Mkuu wa Chuo), Walter Rodney, na maelfu ya Wataalamu waliopita hapo. Kina Exchange program na Vyuo vingi tu. Hata kama bado hakijafikia ubora wa vyuo kama Witsrand kule Bondeni lakini ni ukweli kuwa kinajulikana. Unapoanzisha Chuo bila kuwa na back up ya Chuo maarufu itachukua miaka mingi sana kutambuliwa.
Soma attachment yako, utaona WHO wame address Muhimbili Health College, halafu wakasema Institute of Health Research. Ukweli ni kuwa Health research ni Institute kama Faculty pengine, lakini WHO inapata mchango mkubwa wa kitaalamu kutoka Institute hiyo ndio maana wana Recognized.
Si Vyuo vya Afya tu hata Vinginevyo. Utashangaa kuwa Chuo cha ushirika moshi ambacho ni tawi la SUA kitapata recognition haraka kuliko Josia Kibira, Tumaini, Morogoro Islamic, Bugando au Tumaini.
Ni rahisi sana kuita Chuo Kikuu, lakini ni ngumu sana kuwa recognized University.
 
I have a lot of interest on this issue. Is there anything that stakeholders can do to make sure that some of these schools are recognized by WHO?

Count me in if there is anything that needs to be done by stakeholders.
 
Ahsante Nguruvi3 kwa maelezo yako mazuri ya ya kuelimisha zaidi. Nimekusoma na kukuelewa vizuri sana.
Ila kama nilivyosema hapo juu kuwa pia kuna uzembe wa mambo mengine ambayo yanatakiwa kuwa-presented. Mfano nilikuwa na jamaa yangu amabaye alikuwa na mpango wa kufanya PRACTICE IN MEDICINE IN THE UK ambaye amemaliza hapo Hurbet kairuki , alipotakiwa kufanya kwanza mtihani wa PLAB( Proffessional Linguistic Assesment Board) walimkataa kabisa na kumwambia kuwa labda kwanza aanze kuwasiliana na mkuu wake wa chuo ili aandike maelezo in a daily basis akielezea transcripts/ Internship na mambo mengine kibao tu....hi yote ilikuwa inamanisha kuwa chuo hawakipingi wala kukikataa ila tatizo ni wao kukaa na kusubiri kuwa-recognized.
Kuna vyuo vya China vya udaktari amabvyo vinafundisha kwa English wala sio vya mda mrefu sana , lakini ch akushangaza kwa sasa vyuo vya udaktri zaidi ya 50 viko recognized by WHO , JE bado tunasubiri pia hata kwa hilo?
Kitu kingine amabcho umekitaja ni kizuri sana kuwa na EXCHANGE PROGRAM ,sio siri vyuo vyetu vingi vinakosa kabisa VISION maana hata kuwa na hizo program tu hakuna, tunaona vyuo vya wenzetu wanavyokuwa na ushirikiano na Vyuo mbali mbali duniani yaani hadi raha, lakini sisi hao viongozi wa vyuo wamekaa tu sijui wanategemea nani awaafate, tunaona ma-Dean na ma -Director wa vyuo wanavyokaza kwa njia yeyote kujitangaza nje ya nchi na huo ndio mwanzo wa kujulikana.
Ndugu Mallaba, una hoja nzuri sana hasa kwa wanaoanzisha vyuo bila mpangilio. Nikukumbushe kuwa UDSM haikuanza kama Chuo kikuu bali kama college of East Africa University. Hii EA Univesity ilianza kwa kuwa Clollege of London University(kama nipo sahihi kwa London).
SUA haikuanza kama SUA bali UDSM Faculty then College of Agriculture. Muhimbili ilikuwa College of UDSM hadi hivi karibuni.
KCMC ina affiliation na Chuo Kikuu kimoja maarufu cha Ujerumani. Ili Chuo kipate hadhi ya kutambuliwa kuna mambo kama Research, Professors, Students, Facilities vinaangaliwa. UDSM inajulikana Duniani kwa kupitia watu kama kina Nyerere (Mkuu wa Chuo), Walter Rodney, na maelfu ya Wataalamu waliopita hapo. Kina Exchange program na Vyuo vingi tu. Hata kama bado hakijafikia ubora wa vyuo kama Witsrand kule Bondeni lakini ni ukweli kuwa kinajulikana. Unapoanzisha Chuo bila kuwa na back up ya Chuo maarufu itachukua miaka mingi sana kutambuliwa.
Soma attachment yako, utaona WHO wame address Muhimbili Health College, halafu wakasema Institute of Health Research. Ukweli ni kuwa Health research ni Institute kama Faculty pengine, lakini WHO inapata mchango mkubwa wa kitaalamu kutoka Institute hiyo ndio maana wana Recognized.
Si Vyuo vya Afya tu hata Vinginevyo. Utashangaa kuwa Chuo cha ushirika moshi ambacho ni tawi la SUA kitapata recognition haraka kuliko Josia Kibira, Tumaini, Morogoro Islamic, Bugando au Tumaini.
Ni rahisi sana kuita Chuo Kikuu, lakini ni ngumu sana kuwa recognized University.
 
Thank you for being interested on this issue.However WHO says very clear reminded that WHO has no authority to grant any form of recognition or accreditation to schools of medicine or other training institutions. Such a procedure remains the exclusive prerogative of the national government concerned
I have a lot of interest on this issue. Is there anything that stakeholders can do to make sure that some of these schools are recognized by WHO?

Count me in if there is anything that needs to be done by stakeholders.
 
Mallaba
shukrani kwa Observation

Kimsingi Tanzania kuna uzembe wa hali ya juu kila idara ya serekali hususani kwenye hizi taasisi za elimu ya juu,Vyuo hivi vya madaktari kimsingi kuna vingine vilitakiwa visiwepo kabisa,,hawana walimu, miundombinu,nk,wanazalisha madaktari ambao kimsingi ndo wanaongoza kwa kuuwa wagonjwa,,Mfano vyuo vya udaktari vilivyo DSM vinategemea walimu wa Mhimbili kwa asilimia karibu 90, ukumbuke na hawa walimu wanamajukumu yao muhimbili,, cha kusikitisha wanafunzi wa kuanzia mwaka wa tatu wanafanya mazoezi hospitali ya mwanamwanyala, Ilala na temeke, daktari wa atakayepatikana hopo ndo wale wanaouwa wagongwa kila siku,,Kuna chuo hapo DSM kilifungiwa na TCU,,hawa wanasiasa wakatengua uamuzi wa TCU

Kuna uhaba kweli wa madaktari lakini uhaba huo usitumiwe kutuzalishia madaktari BOMU, Tujifunze kutoka RWANDA kila kukicha wanakuja ku dahii madaktari kutoka Bugando, Mbeya na Mhimbili,,
 
Ahsante Prodigal Son kwa kugusia swala hili ambalo ni sugu sana kwa sasa. Huwezi kuanzisha Chuo kwa kutegemea madaktari wa kuazima hata siku mmoja, huu ni mchezo wa kuigiza . Ndio maana tunaona hata hao madaktari bingwa na maprofesa mda wote wanakuwa wakizunguka mahospital na mashule binafsi , wamesahau kabisa wajibu wao kuwahudumia wale wanafunzi wa Mhimbili na wagonjwa husika. Siku moja naongea na rafiki yangu ambaye yuko pale Mhimbili anafanya CLINICAL YEAR akawa ananiambia yaani mda mwingi wao ndio wanaachiwa shughuri za kukutana na wagonjwa( at the first time) OPD au wanapokuwa wanachukua round asubuhi. Sio siri this is unacceptable at all, mtu anayefanya Elective Training/ Clinical year hawi na utaalamu wa kutosha kuweza kufanya DIAGNOSIS ya kutosha at the first time bila ya kuwa na Superviser wake , hapa ni ubabaishaji kabisa. NDIO maana tunaona waginjwa wengi wanakuwa na MIS-DIGNOSED or diagnosed with with wrong treatment. Tunaona nchi za wenzetu umhimu wa primary diagnosis amabo ni lazima awe daktari bingwa, professor au mkongwe , basi baada ya hapo ndio mtaachiwa madaktari wa kawaida kuendelea kumhudumia ,sababu wanajua kabisa the right diagnosis leads to right treatment.
Mallaba
shukrani kwa Observation

Kimsingi Tanzania kuna uzembe wa hali ya juu kila idara ya serekali hususani kwenye hizi taasisi za elimu ya juu,Vyuo hivi vya madaktari kimsingi kuna vingine vilitakiwa visiwepo kabisa,,hawana walimu, miundombinu,nk,wanazalisha madaktari ambao kimsingi ndo wanaongoza kwa kuuwa wagonjwa,,Mfano vyuo vya udaktari vilivyo DSM vinategemea walimu wa Mhimbili kwa asilimia karibu 90, ukumbuke na hawa walimu wanamajukumu yao muhimbili,, cha kusikitisha wanafunzi wa kuanzia mwaka wa tatu wanafanya mazoezi hospitali ya mwanamwanyala, Ilala na temeke, daktari wa atakayepatikana hopo ndo wale wanaouwa wagongwa kila siku,,Kuna chuo hapo DSM kilifungiwa na TCU,,hawa wanasiasa wakatengua uamuzi wa TCU

Kuna uhaba kweli wa madaktari lakini uhaba huo usitumiwe kutuzalishia madaktari BOMU, Tujifunze kutoka RWANDA kila kukicha wanakuja ku dahii madaktari kutoka Bugando, Mbeya na Mhimbili,,
 
Jamani uchakachuaji kwenye mafunzo ya udakitari ni hatari mno kulinganisha na uchakachuaji katika fani nyingine! Umakini zaidi unatakiwa kwa wanaosajili vyuo.
 
Kwa jinsi Elimu ya Afya inavyopelekwa nchini baada ya muda kutakuwa na maafa maana walimu wanalalamika wanafunzi wabovu hawasomi. wanafunzi nao wanalalamika walimu wako busy na mambo yao ya part time na utafiti/biashara...........

ukosefu wa motisha na vifaa/dawa katika sekta ni tatizo. Ukijumlisha haya yote kupata huduma/tiba itakuwa balaa. Utatoa rushwa kwa daktari asiye na ujuzi, maana hata private clinics ni hao wanafanya kazi.
 
hilo umelisema la ukweli kabisa, lakini mbona viongozi wetu wanafanya siasa kwa kila kitu hata vitu vya msingi kabisa?
Jamani uchakachuaji kwenye mafunzo ya udakitari ni hatari mno kulinganisha na uchakachuaji katika fani nyingine! Umakini zaidi unatakiwa kwa wanaosajili vyuo.
 
TZ JAMANI, acha kutuumiza zaidi mioyo yetu, maana tunavyoona huko mbele ni kama giza tu, hakuna kitu kinachofanyika hapo zaidi yaTRADING WITH PEOPLES LIFE.Walimu wanalalamika...wanafunzi wanalalamika.....wagonjwa wanalaamaika.....hata mimi nina lalamika pia kuwa SERIKALI YETU IMELAA LABDA TUIAMUSHE KIDOGO JAMANI....

Back
Top Bottom