Uume una simama sana kuanzia saa 10 usiku hadi 12 asubuhi naomba msaada wenu

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Wana JF doctor nisaidieni kidogo, i am away from home for 7 months now, my GF
we meet thru phone, ila kuna hali inazidi kwangu kuanzia saa 10 usiku uume unasimama kweli unakuwa mrefuuuuu hadi 12 asubuhi, najigeuza geuza sometimes ule usingizi mtamu
nilouzoea nikiwa home unapotea, na wala siwazi sana ngono na nipo busy kwa masomo na physical exercises, pia hasira zinazidi mno sijui ni nyege zime accumulate au? yaani uume unajaa na kutoka mbele kama unashindana na mm vile hadi 12 asubuhi unatulia, nahisi nikirudi home nimemwambia GF akae mkao wa kuzuia magoli, naona yatatoboa nyavu, sijui atahimili mtoto wa watu, ni nini nifanye kabla sijarudi?
 
Mkuu,
Ice pack around uume wako katika kipindi hicho saa 10 hadi 12 , ubaridi ukigusa ko.ro.dani uume utanywea wenyewe, tulii.
 
Umenijibia hapo!

Nyongeza.. aepuke kupanda mabasi yaliyojaa asije akafazaika mgongoni kwa mtu
 
kweli ww kiboko. Usiposimama utakuja humu kutuambia hilo. Mademu kibaooo ww jivinjari tu ila kinga ni muhimu
 
Sasa unatafuta sifa au? kwani lazima kila kitu kiandikwe JF, si ungekaa kimya je,ingekuwa haisimami unge raise post hapa?
 
chakufanya kabla yakuonanae tafuta mahali pakupunguzia kueusha msongamano wa magoli
 
ufurahie kaka bado unadai kwa nguvu

mwanaume ambaye haisimami mida hiyo hajakamilika kiaina fulani
 
Penile erection is a physiological phenomenon where the penis becomes enlarged and firm. Penile erection is the result of a complex interaction of psychological, neural, vascular and endocrine factors, and is usually, though not exclusively, associated with sexual arousal. Penile erection can also occur due to a full urinary bladder. In some males, erection can occur spontaneously at any time of day, and is known as nocturnal penile tumescence when occurring during REM sleep.

Penile erection occurs when two tubular structures that run the length of the penis, the corpora cavernosa, become engorged with venous blood. This may result from any of various physiological stimuli, also known as sexual stimulation and sexual arousal. The corpus spongiosum is a single tubular structure located just below the corpora cavernosa, which contains the urethra, through which urine and semen pass during urination and ejaculation, respectively. This may also become slightly engorged with blood, but less so than the corpora cavernosa.

Source: Erection - Wikipedia, the free encyclopedia
Pia unaweza kupitia hapa kujua zaidi: Understanding a man's erection
 
Wana JF doctor nisaidieni kidogo, i am away from home for 7 months now, my GF
we meet thru phone, ila kuna hali inazidi kwangu kuanzia saa 10 usiku uume unasimama kweli unakuwa mrefuuuuu hadi 12 asubuhi, najigeuza geuza sometimes ule usingizi mtamu
nilouzoea nikiwa home unapotea, na wala siwazi sana ngono na nipo busy kwa masomo na physical exercises, pia hasira zinazidi mno sijui ni nyege zime accumulate au? yaani uume unajaa na kutoka mbele kama unashindana na mm vile hadi 12 asubuhi unatulia, nahisi nikirudi home nimemwambia GF akae mkao wa kuzuia magoli, naona yatatoboa nyavu, sijui atahimili mtoto wa watu, ni nini nifanye kabla sijarudi?

Wewe ni jinsia gani kabla hatujakushauri cha kufanya.
 
Hii thread ni ya kiume ila imenichekesha. kupiga punyeto inapunguza. ila nafikiri mida hiyo kwa mwanaume aliyekamilika lazima isimame labda ka ayake imezidi sana.

Hata kwa watoto wadogo wa kiume mida hiyo unakuta kitu kinapwta kistyle. Nafikiri Umshukuru Mungu uko fiti kaka. vinginevyo ikikaa doro oooh! its hell.
 
Back
Top Bottom