Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Salaam wana jamvi. naomba kujuzwa, mara nyingi nistukapo usiku huwa nakuta jamaa kachachamaa sana (kasimama) wakati wala sijafikiria wala kuota ndoto nyevu!! je hii ni kawaida? na ni kwa nini iwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kitu nimeskia nataka nijue kama inawezekana ni hivi Mwanamke anamimba bila kujua kama ni mimba ya mapacha anakwenda kutoa na dokta hampimi anatoa tu na yule mwanamke anaondoka kumbe doctor...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
“Allah is All-Knowing All-Wise"…Quran A sliced Carrot looks like the human eye The pupil, iris and radiating lines look just like the human eye...and YES...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well...
0 Reactions
96 Replies
6K Views
It's that time of the month and you are not pleased, simply because of menstrual cramps. Women experience menstrual cramps in varying degrees. Medically menstrual cramps are known as...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
wanajamvi kwa mara nyingine naomba mchango wenu kimawazo. Kuanzia jtatu wiki hii nasikia maumivu makari sana upande mmoja wa shavu like shoti ya umeme au kama vile moto unaniunguza. Nimetembelea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Blue M&M’s Turn Rats Blue and Help Heal Spinal Injuries: WTF? Posted by Ralph Bernardo on January 13, 2011 Here’s a really crazy “health” story in 2009 from CNN I recently found. If...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANGU ugonjwa wa ukimwi ugunduliwe duniani pamekuwepo na mkanganyiko miongoni mwa jamii kuhusu mgonjwa mwenye ukimwi anavyokuwa. Hali hii aghalabu imesababisha watu wengi kuamini kuwa kila...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WanaJF, nahitaji msaada wenu ktk hili, nilijifungua miez mitano iliyopita bt kiuno kinaniuma sana jamani, wengine wananambia nilianza kufanya kazi ngumu mapema bt nilipumzika kwa mwezi 1 bada ya...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu viungo vyangu vya mwili ni dhaifu sana hasa katika viungio vya mikono pamoja na miguu kiasi kwamba naweza pata ajali ndogo nikavimba,vunjika au kuteguka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hello members, i sincerely need help on this issue. my girlfriend gave birth about 1 year n a half ago, since then she has been experiencing severe back pains esp on the spine and adjacent bones...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi wana Jf , nasumbuliwa na kiuno sana mpaka kuna kipindi nashindwa hata kuinuka wala kugeuka, nimejifungua miez mitano iliyopita wengine wananambia nilianza fanya kazi mapema kabla ya kupona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sunday, 09 January 2011 By Sharifa Kalokola Abortion pills are easily available in the pharmacies and retail drug outlets at an astonishingly affordable price of Sh2000. The Citizen on Sunday...
0 Reactions
9 Replies
23K Views
Habari Madakitari JF, I have a patient suffering from AIDS kinga yake imeshuka hivi, CD4 -21 CD8- 62 By this juncture she is suffering from Malalia, typhoid n i thing there are some symptoms...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo. Naomba...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
jamani naomba dawa ya uchovu yani nasumbuliwa na uchovu kwa mda mrefu sana sijui ni ratiba na kazi yangu kwani nashinda kwenye computer mda mwingi alafu nachelewa sana kulala uchovu wenyewe...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Retracted autism study an 'elaborate fraud,' British journal finds By the CNN Wire Staff January 6, 2011 -- Updated 0114 GMT (0914 HKT) British journal blasts autism...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Darren was diagnosed with orophyrangeal cancer, a rare form of mouth cancer, at the age of only 31. But that wasn't the only shocking news that he had to deal with. Most oral cancers are caused...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom