Maumivu ya kiuno baada ya kujifungua

mperwa

Member
Sep 3, 2009
28
0
WanaJF,
nahitaji msaada wenu ktk hili, nilijifungua miez mitano iliyopita bt kiuno kinaniuma sana jamani, wengine wananambia nilianza kufanya kazi ngumu mapema bt nilipumzika kwa mwezi 1 bada ya hapo nikawa nafanya kazi nyepesi kama kufua nguo za mwanangu 2 na kumuogesha! Msaada jamani!
 
Nenda hospitali ukachunguzwe vizuri. Nina amini kuwa mabingwa watatatua tatizo lako.
 
Back
Top Bottom