Tatizo la kiuno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kiuno

Discussion in 'JF Doctor' started by mperwa, Jan 11, 2011.

 1. m

  mperwa Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hi wana Jf , nasumbuliwa na kiuno sana mpaka kuna kipindi nashindwa hata kuinuka wala kugeuka, nimejifungua miez mitano iliyopita wengine wananambia nilianza fanya kazi mapema kabla ya kupona vizuri, ya kweli haya? Naombeni ushauri jamani!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hukupumzika inawezekana ndo ilikua sababu!Ngoja tusibiri wataalamu watueleze!Pole lakini!
   
Loading...