Udhaifu wa viungo vya mwili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa viungo vya mwili

Discussion in 'JF Doctor' started by Yusuph Salehe, Jan 4, 2011.

 1. Y

  Yusuph Salehe Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu viungo vyangu vya mwili ni dhaifu sana hasa katika viungio vya mikono pamoja na miguu kiasi kwamba naweza pata ajali ndogo nikavimba,vunjika au kuteguka. Naombeni mawazo yenu nini laweza kuwa tatizo, linasababishwa na nini na nifanye nini kuondokana na tatizo hili?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siwezi kukusaidia ila pole sana!!Kwanini usionane na daktari?
   
 3. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu mi nakushauri ukamuone Daktari wa mifupa haraka iwezekanavyo
  kama ni kweli unavyosema kuwa ni rahisi kuvunjika kunamambo mengi yanaweza sababisha ila kwa ushauri nenda kamuione dr wala usijindanye kupewe shortcut hapa yawezekana kama kweli ulivyoeeleza hapo juu japo kuwa si kwa uhakika saana ukawa na osteoporosis narudia kuwa sina uhakika kwa sababu hujatoa maelezo kamili, yaani umeyatoa ki ujumla mno.

  so kamuone Dr wa mifupa.

  Nakutakia matibabu mema.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kula dagaa kwa wingi ujenge mifupa
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  inawezeka n mpenz mzur ma kula mayai ya kisasa !
  kuku wa kisasa !
  pia acha kula vyakula vilivyocndkwa
  kula dagaa san
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  achana na chipsi mayai. kula ugali wa dona, dagaa na matembele kwa wingi. mwone daktari pia
   
Loading...