kutokuwa na nywele za kwapa kabisa ni tatizo?

MAENE

Senior Member
Jan 7, 2011
116
22
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.

Naomba kuuliza wataalam mliopo hapa kuna kasoro zozote ambazo ninazo?
 
Kwa maoni yangu si tatizo na pia huna gharama za kusafisha huko kila mara.
 
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.naomba kuuliza wataalam mliopo hapa kuna kasoro zozote ambazo ninazo?
yaani we dada nakutamani kweli,ama kweli kuna watu wanabarikiwa na mungu,hivi amefikiria nini mpaka kukunyima hizo nywele za kwapa? hongera shostito,hapa nilipo nachanga hela ili niende nikafanye leather surgery ili kutoa nywele za kwapa.

usiziombee kabisa,zinakera nakufanya kwapa jeusi hata kunyanyua mkono unashindwa.
 
Yani ata mie nna ilo tatizo!hazijawai kbs kunitoka na nshakua mdada sasa!
 
Mimi ni msichana sijawahi kuota nywele za kwapa kabisa toka nizaliwe, kwa hiyo swala la kunyoa nywele makwapani huwa nalisikia tu kwa wenzangu.ila sehemu nyingine zote eg sirini ninazo.naomba kuuliza wataalam mliopo hapa kuna kasoro zozote ambazo ninazo?

bado ujakuwa ukikuwa zitaota ucwe na wac wac
 
Hongera.
Kuna watu wana manywele ya kwapa mengi hadi wanayasuka.
 
yaani we dada nakutamani kweli,ama kweli kuna watu wanabarikiwa na mungu,hivi amefikiria nini mpaka kukunyima hizo nywele za kwapa? hongera shostito,hapa nilipo nachanga hela ili niende nikafanye leather surgery ili kutoa nywele za kwapa.
usiziombee kabisa,zinakera nakufanya kwapa jeusi hata kunyanyua mkono unashindwa.

Kwa kweli nikiangaliaga makwapa ya watu,mengine meusi kweli,huwa nashukuru Mungu langu jeupeee!
 
Mimi nafikiri ni jambo la kawaida tu na ni maumbile, kwa sabbu hata mimi zimeota lakini ni kidogo sana tena kama malaika hata ni kinyoa napitisha kiwembe mara moja tu nakaaa hata miezi minne au tano ndo napitisha tena lakini hata nisiponyoa bado hazinisumbui kwa kuwa ni kidogo sana.

Ingekuwa kule kwa bibi ningeshituka kwa nini mahindi hayajaota maana kungekuwa kunafanana na kwa mtoto ngozi mtelezo tehetehe:smile-big:.
 
ni sawa na baadhi ya wanaume wanapokosa ndevu kabisa, yaani kidevu cheupeee.......
 
Back
Top Bottom