Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

This MIRACLE DRINK has been circulating for a long time. It is worth your while to take note. There is a celebrity Mr. Seto who swears by it. He wants to make it public to draw the attention of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hbr zenu wana jf, jamani nisaidieni hapa wataalam, nina jamaa yangu sana anavuta sana bhang sasa kapata kazi na anatakiwa kupimwa mkojoe afanye ki2 gani cku hiyo ili aepukane na suala la kukutwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wenye Ugonjwa Figo na vijiwe ndani ya figo Tiba Mbadala hii naitoa Chukua kitunguu bila kukichambua, tia mbegu ya tende baada ya kuichoma kama vile buni na kuisaga; halafu kila siku kula...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Nilimepata msichana wa kazi kama wiki mbili zilizoisha, nikawa namuomba mawasiliano ya kwao ili niwajue ndugu zake hata kama litatokea tatizo lolote tufahamishane. Binti akawa ananichengachenga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao. T ujifunze mengi kuhusu kuzuia, kutibu au kukabiliana na aina tofauti za...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Faida ya kujitibu kutokana na kitunguumaji tiba inayopatikana katika Kitunguumaji Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Anaeikitumia kitunguu...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa. (Fenugreek) 2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa. ( thyme) 3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba. 4.Maji chupa moja. unachemsha pamoja . Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nitatoa makatazo kidogo juu ya uchanganyishaji wa vyakula tofauti kwa wakati mmoja, kwani kuna baadhi ya vyakula ukichanganya (kula) kwa wakati mmoja huleta maradhi makubwa. Inshallah Mola...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Kila maradhi yana pozo.. na dawa ziko za aina tofauti tu kuna dawa za miti shamba kuna dawa za chemical yaani tunazopatiwa hospitali na kuna dawa zinatokana na matunda alitojaaliwa Allah S.W. Mimi...
1 Reactions
0 Replies
11K Views
Pancreas Cancer: Warning Signs Pancreatic cancer is one of the leading causes of cancer deaths worldwide. It is due to the fact that symptoms of pancreatic cancer are vague and are often...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jf, habari. Mzazi wangu amevunjika mguu mfupa uitwao femur. Mfupa huu umevunija kabisa ila haujatokeza nje wala haujaleta kidonda, anatakiwa kufanyiwa upasuaji. Tatizo ana tatizo la sukari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
LEPROSY is a bacterial disease that destroys the peripheral and motor nerves. If left untreated, it can lead to a painful inflammation of the kidneys, the anaesthetising of extremities, deformity...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Huwa najiuliza maswali mawili yafuatayo sipati jibu au kwa vile Biology niliyoisoma O-level hainitoshi. 1.KWA NINI MKONO WA KUSHOTO(hasa kwa watu wengi) UNA UFANISI PUNGUFU UKILINGANISHA NA MKONO...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini. Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni. Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito. usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike...
0 Reactions
207 Replies
25K Views
Naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa , nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi na...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Mkono haujateguka wala haujavunjika, ila ukiunyanyua kuna kama nyama zinachanika, na mara moja moja huwa unafyatuka kabisa. maumivu ni makali sana. msaada jameni!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Ukiwa na kinga imara ya mwili, huwezi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mouth and throat cancer, called oropharynx cancer, used to be a disease seen most commonly in elderly persons. Tobacco smoking and alcohol use were known to be the leading causes of oropharyngeal...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nna dem wangu yapata mwaka sasa. Bt nimeshangaa tangu juzi nikisex nae baada ya bao la kwanza nguvu zinaisha kabisaa wkt ye anakuwa bado anaitaji. Analalamika eti either na mtu mwingine wkt sina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni muda kidogo nimepata kuombwa msaada wa dada anayehisi wmili wake kuwasha kwa ndani na anahisi ni katika mfumo wa damu hususani mikononi na mgongoni. Kwli nilishindwa kumsaidia walau hadi nipate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…