Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,794
- 159,121
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?