Ebu saidia kwa hili

Dr anold

Member
Oct 4, 2011
19
0
Nna dem wangu yapata mwaka sasa. Bt nimeshangaa tangu juzi nikisex nae baada ya bao la kwanza nguvu zinaisha kabisaa wkt ye anakuwa bado anaitaji. Analalamika eti either na mtu mwingine wkt sina. Sababu nini na sina mawazo wala nn
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,740
104,888
Hiyo ni sexual dysfunction. Nenda kwa urologist ukafanyiwe uchunguzi zaidi.
 

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
52
Unajua unaweza ukawa na hulka wakati wa kusex kwa vile hamjadate siku nyingi.Make sure unamwandaa kwa dakika 30 hadi 45 utamkata nyege zote.

NB: Ukiwa na demu hata kama unampenda au mpya usijenge hisia,jifanye kama humtaki au umetoka kumega kwingine,mi hua nafanya hivyo na inanisaidia.
 

Dr anold

Member
Oct 4, 2011
19
0
Unajua unaweza ukawa na hulka wakati wa kusex kwa vile hamjadate siku nyingi.Make sure unamwandaa kwa dakika 30 hadi 45 utamkata nyege zote.

NB: Ukiwa na demu hata kama unampenda au mpya usijenge hisia,jifanye kama humtaki au umetoka kumega kwingine,mi hua nafanya hivyo na inanisaidia.

Thanx much ngoja ntatest hilo. make jana ckumgusa kabisa
 

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
625
Bro mpaka hapo mi naona una mawazo, maana kitendo cha kuomba ushauri tayari inaonyesha moyoni mwako imo.

Kwa physiology ya mwanaume wa kawaida,kitu lazima kilale imediatelly after ejaculation na kuamka kwake inategemeana na mental status ya mtu.
Sasa nionavyo mimi baada ya juzi hiyo kuchelewa kusimama ulijijengea hisia kwamba labda kuna tatizo kubwa,indeed these feelings can worsen the condition.

Ushauri wangu ni just take it easy bro. Apply fore plays za kutosha ili awahi kuorgasm lakin cha msingi, just relax and do it for leisure.Huna haja ya kutumia super shaft. Just **** it Dude!!!!!!!!!!!!!!

Usisahau kutufeedback.
 

arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,289
583
mmmh! pole kaka lakini kama la mwanza unalimudu vizuri na jogoo anapanda mtungi vema mpaka hapo kaka uko fit,kuhusu la pili jaribi kubadili mfumo wa kumuandaa shosti wetu na vile vile usijichoshe akili kwa kulifikiria sana hilo, na kaka nawe ulikua unampa bao ngapi kwani mpaka shosti ana kuangushia jumba bovu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom