Nini sabuabu za nwili kuwasha jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini sabuabu za nwili kuwasha jf

Discussion in 'JF Doctor' started by MPAMBANAJI.COM, Oct 6, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ni muda kidogo nimepata kuombwa msaada wa dada anayehisi wmili wake kuwasha kwa ndani na anahisi ni katika mfumo wa damu hususani mikononi na mgongoni.
  Kwli nilishindwa kumsaidia walau hadi nipate maoni kutoka kwenu wadau

  Plase am looking foward for genuine assistance to that dada
  Thanks very much JF Doctors
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwanini mnapenda kuja na careof,kwanini usiseme ni mimi mwenye matatizo hayo??? mnabore jama kila mtu oh nina rafiki yangu anatafuta mchumba oh nina rafiki yangu ana maziwa madogo oh mara nina rafiki yangu anatoka na damu kwenye uume khaaaa tumechoka waambie waje wenyewe kufungua account JF ni Bureeeeeeee,Hayo mambo ya careof hatujibu
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Minyoo hiyo inamsumbua mara nyingi muwasho uanza jioni/usiku au inawezakuwa alegi
   
Loading...