Kwa wale watu wazima kama mimi nawapeni dawa ya kiuno kuuma hii hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
1.Uwatu kijiko kimoja kikubwa. (Fenugreek)
2.Zaatari vijiko vitatu vikubwa. ( thyme)
3.Ubani (Dhukr)mweupe chembe saba.
4.Maji chupa moja.
unachemsha pamoja .
Matumizi: Robo gilasi kutwa mara tatu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom