Bangi bangi bhang | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bangi bangi bhang

Discussion in 'JF Doctor' started by Wababa, Oct 10, 2011.

 1. W

  Wababa Senior Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hbr zenu wana jf, jamani nisaidieni hapa wataalam, nina jamaa yangu sana anavuta sana bhang sasa kapata kazi na anatakiwa kupimwa mkojoe afanye ki2 gani cku hiyo ili aepukane na suala la kukutwa na bangi
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Akaji Flash Kwanza kisha aache hizo Bangi.
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Mpelekeni wakam-format disk yake!
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mpe pole tu aisee...kwa sababu hata akiwa na trace tu ya bangi huwezi kuelezea imetoka wapi, huwezi hata singizia kuwa kuna dawa ina sort of chemicals ambazo zinafanana na bangi! Na tatizo bangi huwa inatolewa (excreted) kwenye mkojo taratibu kwa muda mrefu, kama alivuta hata mwezi mmoja uliopita bado watapata trace kwenye mkojo!
   
 5. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bleach.......... chlorox amwagie kidogo kwenye mkojo.
  Kama mouth swap......... asukutue na mountain dew kabla ya swap
   
 6. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sessame seeds zinatoa same results.
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  msaidie mkojo wako!
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Mwambie bora akose kazi ila bang asiache, huwa inaleta misimamo.
   
 9. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ngoja tusubiri madaktari....
   
 10. B

  Bayo Senior Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wida ni noma sana.. Alafu yawezekana huyu mtu ni wewe.. Kwanini umsemee
   
Loading...