nakaribia kupata baby, msaada plz..

BLISS

Member
Mar 31, 2011
54
12
Naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa , nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie.

Swali langu ni kwamba, Je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
IIi hili nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi jamani ni noma.
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
Pole sana. Mtangulize Mungu naimani atakusimamia na utajifungua salama! Ondoa hofu kabisa ndani ya moyo wako. Ongeza kufanya maombi! All the best.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,544
6,392
nakutakia yote mema, Mungu awe nawe kabisa. mimi pia mke wangu yuko kwenye kimbembe ichoicho na tunamtumaini Mungu kwamba hatatuacha, atakuwa naye hadi mwisho...jipe MOyo, Mungu yu pamoja nawe.
 
CLEMENCY

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
211
116
Jadiliana na daktari wako kwanza. Unaweza uka opt out operesheni. Lakini kikubwa sana,mtangulize Mungu ktk kila kitu. Kama ni mkristo ningekupa mistari ya kusimamia.
Naomba nipendekeze jina la mtoto, muite Igunga. Jina hilo ni unisex , kielelzo cha utamaduni kuyaenzi majina yetu na ukomavu wetu wa kisiasa
 
BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
478
Usihofu mpendwa ondoa hofu moyoni mwako, fanya mazoezi ya kutembea kila siku japo 1 km nyakati za jioni au kama kuna pahali penye gorofa refu panda ngazi kila siku toka chini hadi juu na kurudi mazoezi haya yanakusaidia sana wakati wakujifungua na hotoshonwa wala kuongezewa njia kama mwazo
 
ma jery

Senior Member
Jun 15, 2011
171
64
naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,

swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
Ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? Napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.
kwanza hongera mimi ndo kumekucha uku muombe mungu atakusaidia pia kuwa karibu na waudumu wa afya unapojiskia na matatizo
 
Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,759
437
Ni nadra sana kuona na kusoma member wakishauri vema.Nami nimepata ushauri kwani wakati wowote mamawatoto wangu kujifungua,nimefarijika sana.
 
MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,977
774
Hofu ndiyo bakora ya shetani kwa wanadamu. acha kuwaza mambo yaliyopita.

BLISS, utajifungua salama kabisa kwa njia ya kawaida.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,103
naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,

swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
Ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? Napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.

ndugu yangu
kinachokusumbuaa sasa ni pepo la uwoga;;;anza kwenda kwenye maombi umwombe mungu akuhifadhi wewe na mwanao alietumboni..ni wakati wako sasa kumwambia shetan sasa imetosha kuchanwa ,,,usiogope mi nikupe mfano mama didy
wakati akiwa na mamito tumboni ilipofika mwezi wa nane wakasema ooh jamani itakuwaje@@nilisimamam na maombi alipofika mwezi wa nane dk akaniita akadai mama anapoeleekea ni kifafa cha mimba hapa ni kutoa mtoto lakini sitoweza kuhakikisha uhai wake...nilimwambia mungu siitaji kuzika siitaji kutunza maumivu ya shetwan..nakuhakikishia siku hiyo akazidiwa nikapigiwwa niende kusaini nikamwambia mama saini nakuhakikishia nakuja kuchukua mtoto wangu usiogope operation alie ndani yetu ni mkubwa kuliko huyo anaetaka kukuumiza nakwambia nilikuwa kazini nikatoka saa nane nikaambiwa umepata mtoto wa kike ana nguvu ila wamamweka vyumba vyao nikaanza kushukuru mungu nikasali nikafika wakati namwambia mungu mtoto alale na wazazi si manesi..sikulala kitandan 7 days wakaniita njoo chukua mtoto

leo faith ananiletea viatu niende ofisini...ni kwa mmamlaka tu ndio itakutoa hapo ulipo..usiogope kama ulichanwa mwambie shetan this time nakuchana wewe ama zako ama zangu talk use your mouth ukamate blessing zako By the power of Jesus Christ utajifungua mtoto bila operation wala kuchanwa this time tunamchana yeye ,,ni pm kianzio cha jina lako usiseme lote kama NEEMA SANGAWE (naitaji NS) TUKO PAMOJA MAMA KWENYE MAOMBI
have a sweet blessed baby girl
c u at the top!!
Usisahau shukran kwa Mungu ...
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Hi Bliss,
Ni kawaida sana kua na wasi wasi ila kila kitu kitakua sawa. Uwezekano wa njia kufunguka tena upo na ningekushauri uongee mapema na daktari wako (au mtu yoyote kwenye team itakayo kusaidia kujifungua) ili wafungue njia mapema ikiwa mtoto naonekana kua mkubwa kiasi. please understand kama watafungua njia kwa kutumia mkasi hauta hisi maumivu sababu wanapitisha mkasi wakati wa contraction na njia inakua neat, sio kama ile ya kujifungukia yenyewe.
Nitakushauri pia uongee na daktari mara kwa mara akueleze kila sptep ili uanze kufanya projection ya namna vitu vitaenda sawa. Kila la heri, hongera sana.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,103
Jadiliana na daktari wako kwanza. Unaweza uka opt out operesheni. Lakini kikubwa sana,mtangulize Mungu ktk kila kitu. Kama ni mkristo ningekupa mistari ya kusimamia.
Naomba nipendekeze jina la mtoto, muite Igunga. Jina hilo ni unisex , kielelzo cha utamaduni kuyaenzi majina yetu na ukomavu wetu wa kisiasa
Kwa nini umuite igunga na si Babati??Mtumishi unajua jina Mara ??
Soma kwenye baibo mara ni uchungu na mpaka kesho wale jamaa watachapana mpaka wabadilishe jina la ule mkoa.....so m naomba umwombe rohomtakatifu akuonyeshe jina ..m nilisali 4days kupata "Faith"" usikimbilie majina ya wazazi wako ama wa mzee ni Mungu ndie anatakiwa kusimama hapo
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
Nakushauri Umuombe Mungu Akusaidie ujifungue kwa amani zaidi. Hakuna haja ya kuwaza yale magumu yaliyokupata hapo awali maana hata kama ukijua itakuumiza zaidi. Nakushauri ufuate ushauri wa madaktari na uwe unahudhuria clinic mara kwa mara.
naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa ,
nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo
mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi
na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie,

swali langu ni kwamba,
je nitakapojifungua tena kuna uwezekano wa kuchanika tena pale niliposhonwa zamani?
ili hali nina miaka miwili na nusu toka nishonwe? napata hofu kutokana na maumivu ya nyuzi
jamani ni noma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom