Naomba ushauri_matibabu kwa mtu aliyevunjika mguu

NGAUTI

Member
Jun 6, 2008
21
2
Wana Jf, habari.
Mzazi wangu amevunjika mguu mfupa uitwao femur.
Mfupa huu umevunija kabisa ila haujatokeza nje wala haujaleta kidonda, anatakiwa kufanyiwa upasuaji.
Tatizo ana tatizo la sukari iko kati ya 5.0 – 9.5
Pressure nayo haiko vizuri . ipo kati ya 157/73 – 140/59.
Napata wasiwasi kama kweli akifanyiwa upasuaji kidonda kinaweza kupona.
Naomba ushauri wenu kwa ambao ni wataalam au walishawahi kupita katika changamoto za namna hii.

Nasikia kia kuna tiba mbadala ya watu waliovunijka .
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa jambo hili , naomba anijulishe.
asnteni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom