Usingizi na mkono wa kushoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usingizi na mkono wa kushoto

Discussion in 'JF Doctor' started by Billie, Oct 6, 2011.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Huwa najiuliza maswali mawili yafuatayo sipati jibu au kwa vile Biology niliyoisoma O-level hainitoshi.
  1.KWA NINI MKONO WA KUSHOTO(hasa kwa watu wengi) UNA UFANISI PUNGUFU UKILINGANISHA NA MKONO WA KULIA?
  2.HUWA SIJUI MECHANISM YA USINGIZI INAENDAJE?
  (ntafurahi zaidi nikipata facts za kibiologia zaidi kuliko za kimtaa)
   
 2. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  mmmmh,subir kidogo waje wenyewe mi nmepotea hapa
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  cz unatumia wa kulia maranyingi thats y mkono wa kulia unakuwa uko sharp vs wa kushoto

  kuhusu usingizi n its mechanism braza here we go...KOPE ZIKISHACHOKA znafanya liquid qqpobdhterr ipungue na ivyo nyayo ya mguu wa kulia inaanza kuvuta na mwishowe cl na hel ikishamiks na mg ikisaidiwa na aluminium sodium chloride znasababisha potasium magnesium zishindwe kusukuma damu NA NDIPO APO MACHO UJIFUNGA(window closed) NA kwa kiswahili cha mtaan ndo mnaita USINGIZI lakin kwa sisi WANABAIOLOJIA tunaita cfhyvsuhquedhzzgu4.3

  nawasilisha

  ONYO:pINGAMIZI LOLOTE WASILIANA NA WAKILI WANGU dnt try kunipinga direct u wil suffer....ebu mie nkalale usingizi tayar apa!!!!!
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  ROSE hebu acha utani aisee
   
 5. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi pia nataka kujua hili hivi inakuwaje kuwaje hapa
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  kalipie gharama za XR naona mbavu ya kushoto kama imepata kreki
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Asante dr...somo zuri
   
 8. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mmmmmhhhhhhh, kazi kwelikweli, kumbe Mr ni mwanasayansi mzuri eeh...
  maana hizo keikali zinatisha....
   
 9. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  umeshinda mama m ie tena bachi shishemi japo bailojia nilikuwa naipenda
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! acha ulofa wewe, umeshajiuliza kwa nini wakina dada wanafuga kucha ndefu kwenye vidole vya mkono wa kushoto, acha kabisa wewe. Inategemea tu huo ufanisi wa mkono ni kwa kai ipi. Kama ni chooni utaupenda mkono wakushoto mkuu uko more active kuliko wa kulia. Na hivyo hivyo kunako sita kwa sita etc etc. Inategemea tu ni shughuli gani. Phewwww!
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! acha ulofa wewe, umeshajiuliza kwa nini wakina dada wanafuga kucha ndefu kwenye vidole vya mkono wa kushoto, acha kabisa wewe. Inategemea tu huo ufanisi wa mkono ni kwa kazi ipi. Kama ni chooni utaupenda mkono wakushoto mkuu uko more active kuliko wa kulia. Na hivyo hivyo kunako sita kwa sita etc etc. Inategemea tu ni shughuli gani. Phewwww!
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  mmmm na maanisha kwenye mambo mengi sio hayo tu wajemeni.
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...bahati yako wewe umejiwahi...
   
 14. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Dr.Rose ako juuuu!!!!!!!!!!!!

  My doubt ni kwamba kiswahili chetu kinaweza kisiwe na maneno ya kutosha,lakn nitajaribu kueleza kwa kifupi nitakavyoweza.
  Mwili wa mtu(au viumbe hai kwa ujumla) is some kind of very sophisticated machine.Kwa maana kwamba viungo vyote vinategemeana katika kuwezesha mwili kufanya kazi ambapo brain ia an administraive centre.Kwamba ubongo ndio unaamua nini kifanyike wapi,vip na wapi ktk mwili.

  Roughly,ubongo unaweza kugawanywa kakika cerebrum(fore brain),Cerebelum(hind brain), pons & medulla oblongata(collectivelly mid brain).
  Body movements(ikiwa ni pamoja na mikono kufanya kazi) inaratibiwa na cerebrum while body balance & posture inaratibiwa na cerebelum.
  Na katika cerebrum kuna sehemu maalum inayoratibu shughuli nyingi kwa wakati mmoja.Sehemu hii inaitwa Wernike' area na inafahamika zaidi kwa kuratibu lugha na maongezi kwa kushirikiana na eneo lingine linaloitwa Broca's area. Inafikiriwa kuwa uwepo wa Vernike's area upande fulani wa cerebrum ndio inaamua mtu awe left/right handed; kwa maana kwamba ikiwa Left mtu anakuwa right handed na ikiwa Rt mtu anakuwa Lt handed. Utafiti umeonesha kuwa zaidi 95% ya watu inakuwa upande wa kushoto.

  Hebu sasa turudi kwenye biology ya O level,Kuna vitu vinaitwa neurones(motor & sensory). Sensory inabeba information kutoka nje na ndani ya mwili kupeleka kwenye Uti wa mgongo(spinal chord) au ubongo,kwa mfano ukikanyaga kitu cha moto taarifa mara moja hubebwa na sensory neurones kwenda kwenye spinal chord na brain. Katika kasi ya ajabu unayoijua wewe ORDER hutolewa mara moja kuondoa fasta kunusuru mguu usiendelee kuungua.Hii ORDER huptiia kwenye motor neurones.Mgonjwa wa ukoma ana hitilafu kwenye sensory neurones so,hawezi kuhisi maumivu hata akiumia, ndio maana anakuwa na vidonda lakini haoni shida.

  Kwa kuwa neurones ni cells kama vinyuzinyuzi vidogo sana ambavyo haviwezi kufanya kazi kikiwa kimojakimoja so collectivelly vinaform NERVE; hence motors nerves na sensory nerves. Hivyo basi na kwenye brain kuna motor area na sensory area. Baada ya kuwa tumepata concept ya Nerves,Motor,sensory na sehemu za ubongo sasa twende kwenye majibu yetu ya msingi:

  Ili nisiwachanganye watu,nitajikita ktk kile tu kinachohusiana na maswali yetu.Hebu fikiria picha ya mkasi(X-shaped),ndivyo nerves zinapita kati ya ubongo na sehemu nyingine za mwili. Hapa nina maana kwamba nerves zinazocontrol mkono wa kulia origin yake ipo upande wa kushoto kwenye brain and vice versa.Watu wenye stroke kwa kawaida tatizo lao linakuwa oposite side kweny brain,kwamba kama mtu ameparalyse upande wa kushoto tatizo linakuwa upande wa kulia kwenye brain.

  Kwa issue ya usingizi, ni tofauti kidogo ingawa bado mechanism yote inainvolve brain. This is entirely hormonal base process. Katika base ya cerebrum kuna tezi ndogo inaitwa Pineal gland ambayo inatengeneza homoni inayoitwa Melatonin. Ni homoni hii ndiyo inayosababisha mtu kupata usingizi muda fulani aliozoea kulala au usiku.Watalam wanaita homoni hii 'a biological clock'. Inasemekana kwamba mwanga unazuia (inhibit) homoni hii kutengenezwa na pengine ndio maana tunasinzia muda wa usiku.

  Sasa kitendo chenyewe cha usingizi kinaanza na conversion ya melatonin into Serotonin,sasa hapa ndio nina wasiwasi ni wangapi watanielewa, maana kuna biochemistry na physiology kidogo ambako sitaki kuingia sana! OK, kwenye mid brain kuna vitu vinaitwa basal ganglia ambamo mojawapo inaitwa Raphae nucleus,hii kazi yake ni kufanya conversin ya melatonin into serotonin. Serotonin kazi yake ni kutufanya tu relax(usingizi). Kwa maneno mengine ndiyo nusu kaputi!!! As long as hii conversion itaindelea,serotonin itaendelea kutengenezwa na mtu ataendelea kulala tu.Mtu asipoamshwa manually, pineal gland itaendelea kutengeneza melatonin mpaka hapo inhibitor factor kama vile light etc. itakapojitokeza na kusimamisha zoezi hilo na hivyo zoezi la kutengenezwa nusu kaputi yetu(serotonin) kukoma na mtu anaamka.

  Nasikitika maelezo yamekuwa marefu sana.Lakini kwa juu juu tu huo ndio mpango mzima.

  Adios..................
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hivi rose unanini jmn? so funny
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mrimi nimekupata vzr sana asante
   
 17. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  wanawake wa kibongo wko funny bt nt 2 ths extent...i doubt either ur sex or nationality
   
 18. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  ualimu kazi!!!
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  siwezi kusema kwa uhakika ila vyote ni neurology na ujuzi wetu wa neurology bado uko chini sana (ulaya kama afrika) kuna center kubwa sunnyhill kule africa kusini, Aicardi ufaransa (jina la hospitali nimesahau ila hilo ni jina la profesa muhusika) na US pia ipo moja. hizo ndio kubwa duniani ila kuna maswali hata wenyewe wanasema hawajui.
  Nadhani kutumika zaidi kwa mkono wa kulia ni swala la evolution tu na kuna ambao wanakua na anomaly ndio wanatumia wa kushoto zaidi.
  Usingizi niliambiwa unakuja kutokana na pumzi kubadilika wakati wa usiku. unakua unavuta,unatoa alafu muda kabla hujavuta tena unakua mrefu zaidi. Hii inapeleka cells za kupeleka oxygen kwenye ubongo kuchelewa katika mapafu na ubongo kukosa oxygen nyingi. hapo unaanza kusinzia sababu essential services ndizo zinapewa priority (respiration, circulation, digestion etc). Inawezakana na mimi nilidanganywa ila niliambiwa hivo
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
Loading...