Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao. T ujifunze mengi kuhusu kuzuia, kutibu au kukabiliana na aina tofauti za saratani.
Saratani ya ubongo
Ubongo ni mojawapo ya kiungo kitovu cha mtandao wa mishipa ya kusafirisha damu mwilini.Ubongo na uti wa mgongo huweza kuwa na uvimbe wa saratani ingawa ni nadra sana, ugonjwa huu ni hatari sana ikiwa hautatibiwa mapema.
Kisababishacho saratani ya ubongo haijulikani, lakini kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa huu:
Uvimbe unaweza kujitokeza katika sehemu yoyote ya ubongo,kwa hivyo dalili zitatofautiana.
Sehemu ya mbele (frontal)

- Ukiwa na saratani katika sehemu zengine za mwili huweza kusambaa hadi katika ubongo
- Kufanya kazi katika kampuni za kusafisha mafuta, bidhaa za mipira , zinazotengeza madawa.
Uvimbe unaweza kujitokeza katika sehemu yoyote ya ubongo,kwa hivyo dalili zitatofautiana.
Sehemu ya mbele (frontal)
- Kuumwa na kichwa
- Ulegevu mwilini
- Kufa ganzi sehemu moja ya mwili
- Mabadiliko ya haraka mwilini,hisia ,moyo na tabia
- Kuchanganyikiwa na akili
- Kuumwa na kichwa
- Kushikwa na kifafa
- Kufa ganzi
- Shida unapoandika hati
- Shida unapojaribu kusonga kwa namna Fulani
- Shida kufanya hesabu rahisi
- Kuumwa na kichwa
- Kushindwa kuona vizuri
- Kuona mazingaumbwe yako tu
- Kushikwa na kifafa
- Kuumwa na kichwa
- Kushikwa na kifafa
- Shida ya kufuata maagizo kwa pamoja
- Kutongamua usumbufu wa hali ya anga.