Hizi Ndio Dawa Za Hospitalini Zinazoua Nguvu Za Kiume

nelly poul

nelly poul

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
1,269
Likes
904
Points
280
nelly poul

nelly poul

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
1,269 904 280

Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa binadamu. madhara madogo madogo huweza kua kichefuchefu,kizunguzungu, kutapika, kuharisha na kadhalika. na madhara makubwa huweza kua kansa, madonda ya tumbo, ugumba, kuishiwa nguvu za kiume na kadhalika. leo ntaenda kuongelea dawa za hospitalini ambazo zinhusika sana kuua nguvu za kiume na kama una tatizo hili uziepuke mara moja.

Dawa za kutibu presha; kuna dawa nyingi sana za kutibu presha na hufanya kazi kwa njia tofauti tofauti yaani ikishindwa hii unapewa nyingine na zifuatazo ni baadhi ambazo huua nguvu za kiume. mfano Hydrochlorothiazide, Hydropres, Inderide, Moduretic, Oretic, Lotensin, Chlorthalidone (Hygroton), Triamterene (Maxide, Dyazide), Furosemide (Lasix), Bumetanide (Bumex), Guanfacine (Tenex), Methyldopa (Aldomet), Clonidine (Catapres), Verapamil (Calan, Isoptin, Verelan) Nifedipine (Adalat, Procardia), Hydralazine (Apresoline), Captopril (Capoten), Enalapril (Vasotec), Metoprolol (Lopressor), Propranolol (Inderal), Labetalol (Normodyne), Atenolol (Tenormin), Phenoxybenzamine (Dibenzyline), Spironolactone (Aldactone).

Dawa za kutibu kifafa, msongo wa mawazo na wasiwasi; hizi hupewa kwa wagonjwa wenye msongo wa mawazo na kifafa. mara nyingi huleta uzingizi na kumfanya mtu aapate nafuu lakini pia dawa hizo hupunguza nguvu za kiume.mfano Fluoxetine (Prozac), Tranylcypromine (Parnate), Sertraline (Zoloft) Isocarboxazid (Marplan), Amitriptyline (Elavil), Amoxipine (Asendin), Clomipramine (Anafranil) Desipramine (Norpramin), Nortriptyline (Pamelor), Phenelzine (Nardil), Buspirone (Buspar), Chlordiazepoxide (Librium),Clorazepate (Tranxene),Diazepam (Valium)
Doxepin (Sinequan), Imipramine (Tofranil), Lorazepam (Ativan), Oxazepam (Serax), Phenytoin (Dilantin).

Dawa za kutibu matatizo ya aleji; hizi ni dawa amazo mara nyingi hutumika kutibu mafua, miwasho, kutetemeka mwili,kuzuia kutapiaka na kadhalika lakini huua nguvu za kiume taratinu mfano Dimehydrinate (Dramamine), Diphenhydramine (Benadryl), Hydroxyzine (Vistaril), Meclizine (Antivert), Promethazine (Phenergan).

Dawa za maumivu; hizi ni dawa ambazo hutumika kutibu maumivu makali ya mwili kama jointi, mgongo, miguu na kadhalika lakini bahati mbaya huacha sehemu nyeti katika halia ambayo sio nzuri mfano Naproxen (Anaprox, Naprelan, Naprosyn) na Indomethacin (Indocin).

Dawa za kutibu madonda ya tumbo; hutumika na watu wengi sana kuponya na kuondoa maumivu makali yanayosababishwa na madonda ya tumbo lakini huacha madhara hayo.mfano cimetidine, Nizatidine (Axid), ranitidine (Zantac).

Dawa za kutibu tezi dume; pamoja ya kua tezi dume hutibiwa moja kwa moja kwa upasuaji lakini kuna dawa ambazo mgonjwa anapewa kabla ya kufikia hatu ya kupasua na pia dawa hizi humpunguzia makali ya ugonjwa.mfano flutamide(Eulexin), leuprolide (Lupron)
dawa za kutibu kansa; dawa hizi hazipatikani madukani kabisa, na hutolewa kwenye hospitali maalumu kama ocean road, dar es laam kupunguza makali ya ugonjwa wa kansa. mfano wa dawa hizo ni Flutamide (Eulexin), Leuprolide (Lupron).

Dawa za moyo; hizi ni dawa amabazo hutumika kutibu watu wenye matatizo ya moyo.. mara nyingi dawa hii hupewa kwa watu ambao mioyo yao haisukumi damu vizuri.mfano norpace.

Mwisho; kama una tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na unaatumia baadhi ya dawa hizi, basi ongea na daktari wako anayekutibu akubadilishie dawa. ni hatari kufanya maamuzi mwenyewe bila kumshirikisha daktari. nguvu za kiume ni nzuri lakini maisha ni matamu zaidi.
 
definition

definition

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
908
Likes
1,373
Points
180
definition

definition

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
908 1,373 180

Mkuu unaweza nielezea kidogo nifedipine...promethazine..lasix..??. zina maliza vp nguvu za kiume..!?? Medical ni pana siyo mbaya niki gain ambavyo nlikuwa si vijui kutoka kwako.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
11,980
Likes
8,069
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
11,980 8,069 280
Duuuh!! Sasa zikiisha sie wanawake tutafanyaje, hebu mjitahidi msiugue tafadhali wanaume.
Neno la Mungu linasema; Kuna wakati wanawake 4 watamwendea mwanamume mmoja na kumwambia, waitwe tu kwa jina lake baasi. Naona ule muda unakaribia. Kidume kitakachokuwa na kauwezo wa kutandika 5 kwa siku kitafaidi saana. Msiogope tupo
 
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
6,333
Likes
6,691
Points
280
Age
58
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
6,333 6,691 280
Hili suala la nguvu za kiume linawauma sana mnaona wivu watu wakiishi bila nguvu za kiume
Inashangaza mkuu,labda watu waumie kama wanaume wanakosa nguvu ya kutafuta pesa !lakini siyo huo ujingaujinga wa nguvu za kiume bana.
 
tumperaha

tumperaha

Member
Joined
May 31, 2018
Messages
6
Likes
0
Points
3
tumperaha

tumperaha

Member
Joined May 31, 2018
6 0 3
Tatizo baadhi ya dawa ni biashara wanajali pesa hawajali athari zake
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
4,516
Likes
3,565
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
4,516 3,565 280

Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa binadamu. madhara madogo madogo huweza kua kichefuchefu,kizunguzungu, kutapika, kuharisha na kadhalika. na madhara makubwa huweza kua kansa, madonda ya tumbo, ugumba, kuishiwa nguvu za kiume na kadhalika. leo ntaenda kuongelea dawa za hospitalini ambazo zinhusika sana kuua nguvu za kiume na kama una tatizo hili uziepuke mara moja.

Dawa za kutibu presha; kuna dawa nyingi sana za kutibu presha na hufanya kazi kwa njia tofauti tofauti yaani ikishindwa hii unapewa nyingine na zifuatazo ni baadhi ambazo huua nguvu za kiume. mfano Hydrochlorothiazide, Hydropres, Inderide, Moduretic, Oretic, Lotensin, Chlorthalidone (Hygroton), Triamterene (Maxide, Dyazide), Furosemide (Lasix), Bumetanide (Bumex), Guanfacine (Tenex), Methyldopa (Aldomet), Clonidine (Catapres), Verapamil (Calan, Isoptin, Verelan) Nifedipine (Adalat, Procardia), Hydralazine (Apresoline), Captopril (Capoten), Enalapril (Vasotec), Metoprolol (Lopressor), Propranolol (Inderal), Labetalol (Normodyne), Atenolol (Tenormin), Phenoxybenzamine (Dibenzyline), Spironolactone (Aldactone).

Dawa za kutibu kifafa, msongo wa mawazo na wasiwasi; hizi hupewa kwa wagonjwa wenye msongo wa mawazo na kifafa. mara nyingi huleta uzingizi na kumfanya mtu aapate nafuu lakini pia dawa hizo hupunguza nguvu za kiume.mfano Fluoxetine (Prozac), Tranylcypromine (Parnate), Sertraline (Zoloft) Isocarboxazid (Marplan), Amitriptyline (Elavil), Amoxipine (Asendin), Clomipramine (Anafranil) Desipramine (Norpramin), Nortriptyline (Pamelor), Phenelzine (Nardil), Buspirone (Buspar), Chlordiazepoxide (Librium),Clorazepate (Tranxene),Diazepam (Valium)
Doxepin (Sinequan), Imipramine (Tofranil), Lorazepam (Ativan), Oxazepam (Serax), Phenytoin (Dilantin).

Dawa za kutibu matatizo ya aleji; hizi ni dawa amazo mara nyingi hutumika kutibu mafua, miwasho, kutetemeka mwili,kuzuia kutapiaka na kadhalika lakini huua nguvu za kiume taratinu mfano Dimehydrinate (Dramamine), Diphenhydramine (Benadryl), Hydroxyzine (Vistaril), Meclizine (Antivert), Promethazine (Phenergan).

Dawa za maumivu; hizi ni dawa ambazo hutumika kutibu maumivu makali ya mwili kama jointi, mgongo, miguu na kadhalika lakini bahati mbaya huacha sehemu nyeti katika halia ambayo sio nzuri mfano Naproxen (Anaprox, Naprelan, Naprosyn) na Indomethacin (Indocin).

Dawa za kutibu madonda ya tumbo; hutumika na watu wengi sana kuponya na kuondoa maumivu makali yanayosababishwa na madonda ya tumbo lakini huacha madhara hayo.mfano cimetidine, Nizatidine (Axid), ranitidine (Zantac).

Dawa za kutibu tezi dume; pamoja ya kua tezi dume hutibiwa moja kwa moja kwa upasuaji lakini kuna dawa ambazo mgonjwa anapewa kabla ya kufikia hatu ya kupasua na pia dawa hizi humpunguzia makali ya ugonjwa.mfano flutamide(Eulexin), leuprolide (Lupron)
dawa za kutibu kansa; dawa hizi hazipatikani madukani kabisa, na hutolewa kwenye hospitali maalumu kama ocean road, dar es laam kupunguza makali ya ugonjwa wa kansa. mfano wa dawa hizo ni Flutamide (Eulexin), Leuprolide (Lupron).

Dawa za moyo; hizi ni dawa amabazo hutumika kutibu watu wenye matatizo ya moyo.. mara nyingi dawa hii hupewa kwa watu ambao mioyo yao haisukumi damu vizuri.mfano norpace.

Mwisho; kama una tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na unaatumia baadhi ya dawa hizi, basi ongea na daktari wako anayekutibu akubadilishie dawa. ni hatari kufanya maamuzi mwenyewe bila kumshirikisha daktari. nguvu za kiume ni nzuri lakini maisha ni matamu zaidi.
Mkuu nimeona hapo dawa za aleji,binafsi natumia cetrizine mara nyingi sana cos nina aleji,vumbi kidogo,baadh ya sabuni,pafumu etc napata mafua,pia mara kadhaa huwa natumia piriton,nifanye nn kuepuka hatari hiyo,msaada please.
 
mnadhimu mkuu wa jf

mnadhimu mkuu wa jf

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Messages
625
Likes
185
Points
60
mnadhimu mkuu wa jf

mnadhimu mkuu wa jf

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2017
625 185 60
Aiseee!!!!
 
Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,039