Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme,
Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi...
Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma...
SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali...
Habari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I...
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!
Leo tuna hapa napoandika...
Shinikizo la juu la damu mwilini ni ninni?
Namna ambavyo damu yako hupiga kwenye ukuta wa mishipa ya mwili wako huitwa shinikizo. Kwa kawaida shinikizo la damu la mtu hupanda na kushuka siku...
Juni 30, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Watu wengi tumekwama kupata Huduma ya kulipia dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) – Upanga tukiambiwa mfumo wa Namba za Malipo za...
Kuanzia asubuhi ya leo Juni 30, 2026, Wananchi wengi tumekwama kupata huduma ya kununua dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kufuatia mkwamo wa kimfumo uliosababisha hitilafu katika...
Ni week ya pili sasa tokea tumeweka appointment kwa ajili ya kipimo cha PET scan katika hospital ya Ocean Road lakini huduma zimesimama kutokana na machine kupata changamoto na mpaka sasa hatujui...
Habari zenu wana JF, hususan wa jukwaa la Afya.
Naomba kuwashirikisha changamoto kubwa inayomsumbua mke wangu kwa takribani miezi saba sasa, kwa matumaini ya kupata ushauri, uzoefu au mwanga...
Kuna kero inayohusiana na wanafunzi na wataalamu wanaosomea taaluma ya usingizi na ganzi tiba (Anesthesia) chini ya uuguzi. Kumekuwa na malalamiko kuwa baadhi ya viongozi wa Baraza la Uuguzi na...
Weekend yaendaje waungwana?
Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia
Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA)
ISO 9001: 2015 IMETHIBITISHWA
TAARIFA KWA UMMA
23 Juni, 2026
KUPIGWA MARUFUKU KWA MATUMIZI YA DAWA ZENYE...
Kwa nchi zinazoendelea Vidonda vya tumbo ni mojawapo ya matatizo ya kiafya yanayoathiri watu wengi. Hii inatokea pale ambapo ukuta wa ndani wa tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo unapopata...
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni...
Hello jamani hivi mtu akiwa anafanya mazoezi ya kuruka kamba yanasaidia kukata weight? Au tumbo. Please.
Wewe unataka kufanya mazoezi au unataka kukata certain parts of the body?
Hakuna mazoezi...