International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi Jekundu la Russia liliendesha oparation zake Ukraine katika Jiji la Mariupol na kugeuza jiji Hilo kuwa majivu sasa limeukarabati upya mji huo na shule zimefunguliwa rasmi na maisha...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani imeamua kupeleka silaha za kivita Taiwan ili ijilinde. Silaha hizo zina thamani ya Trilion 2.5 za Tsh NB: Naona Karim Mandonga anatafutwa BREAKING: The United States has...
4 Reactions
11 Replies
860 Views
Kituko cha mwaka,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia alieleza kwamba Urusi imeharibu Makombora 44 ya Himars wakati Ukraine ina mifumo hiyo 20 tu ambayo ilipewa na nchi za magharibi. On the...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China. Mauzo hayo...
2 Reactions
5 Replies
898 Views
Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana. China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo. Hahaaaa inachekesha sana mchina na...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu iliidhinisha kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa "Hoteli Rwanda" Paul Rusesabagina, ambaye alipatikana na hatia mwaka jana kwa tuhuma za "ugaidi", na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyuma chakavu vya msaada alivyopewa Ukraine vimelipuliwa nakugeuzwa kifusi baada ya kuweka mtego wa kubaini zilipo na kuyabonda mabomu kiasi kuwakaanga maopareta wa machuma hayo. Msemaji wa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Idadi ya Watu waliofariki kutokana na mafuriko Nchini Pakistan sasa ni zidi ya 1,200 huku mvua zikiendelea kunyesha na kuathiri wengine Milioni 33. Waziri Mkuu wa Pakistan, Shahbaz Sharif...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Shirika la kijasusi la Ukraine (SBU) limemtuhumu Lieutenant General Ramzan Kadyrov (shujaa na mbabe wa kivita) pamoja na wenzake wawili kwa makosa ya jinai za vita. Kwa mujibu wa shirika hilo la...
11 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya...
17 Reactions
59 Replies
4K Views
Marekani yasema kuwa leo serikali ya Czech imeponea chupuchupu kuangushwa kutokana kura za wabunge za kutokuwa na imani na serikali yao kuhusu namna inavyokabiliana na masuala ya nishati (gesi na...
6 Reactions
3 Replies
761 Views
Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi. Urusi aliingilia...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom