Marekani kumpa Taiwan silaha, China yalalama

Marekani kumpa Taiwan silaha, China yalalama

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Serikali ya Marekani imeamua kupeleka silaha za kivita Taiwan ili ijilinde. Silaha hizo zina thamani ya Trilion 2.5 za Tsh

NB: Naona Karim Mandonga anatafutwa

BREAKING: The United States has announced a weapons package worth $1.1 billion for Taiwan
 
china ni mjinga sana !. kama aliweza kupeleka jeshi lake karibu na maeneo ya taiwani ana lalamika nini sasa!.

china na sema ni copy and paste kila jambo japo na ujuzi wote.

alivoona urusi akifanya kusogeza majeshi mipakani na yeye aliona kufanya hivo kutapelekea kuchukua kisiwa
 
China si wanao akina Jack chein, jeetri wapeleke Taiwan tuone
 
Tena zile za masafa marefu
Masafa Marefu za Nini? Kutoka Kisiwa Cha Kinmen kinachomilikiwa na Taiwan ambacho Ndicho kisiwa kilichokaribu na Taiwan mpaka mji wa Xiamen wa China Ni 10Km (6.1Miles). Kwahiyo hata Risasi Ikirushwa kutoka Taiwan inafika China. Taiwan inahitaji Vitu vifuatavyo ili Kuishinda China itakapovamiwa;

1.ANT-BALLISTIC MISSILES (ABM).
Taiwan inahitaji Makombora ya Mifumo ya Ulinzi wa Anga. Njia ya kwanza ya China kuivamia Taiwan Ni Kurusha Makombora kutoka China kwenda Taiwan ili Kuharibu Miundombinu ya kijeshi ya Taiwan. Kwahiyo Taiwan inahitaji Mifumo imara ya Ulinzi wa Anga Kama THAAD,AIEGS,IRON DOME,ARROW-3 na DAVID SLING. Hii itaisaidia Taiwan kuyaangusha Makombora yote ya China yatakayorushwa.

2.AIR DEFENCE SYSTEMS
Taiwan inahitaji Mifumo imara ya kudungua ndege za China ambazo zitajaribu Kuingia kwenye Anga la Taiwan. Hii Ni kwasababu,China ikiamua kuvamia Taiwan Ni lazima itapeleka ndege Nyingi za Kivita kuishambulia Miundombinu ya kijeshi ya Taiwan. Kwahiyo Taiwan inahitaji Mifumo Kama NASAMS,PATRIOT,ARROW-2 Ili kuzidungua ndege za Kijeshi za China.

3.ANT-SHIP MISSILES.
Haya Ni Makombora ya Kuzamisha Meli za Kivita. Kwa kuwa Taiwan Ni kisiwa,Basi China itatumia Landing Ships kuweza kuivamia Taiwan. Taiwan inahitaji Makombora ya Kuzamisha Meli ili kuipa wakati mgumu kwa Meli za China.

4.LONG RANGE ARTTERAY SYSTEM.

Kwa kuwa China italazimika kusogeza Silaha zake kwenye Jimbo la Fujian ambalo ndio lipo karibu na Taiwan umbali wa 160km kutoka Taiwan,Basi Taiwan inahitaji HIMARS na Makombora ya ATACMS Yenye Kulenga umbali wa 320km ili Kushambulia Logistics za China ndani ya China (Hili Marekani hatalifanya kwasababu ya kuogopa Kuukuza huu mgogoro pale Taiwan itakapo amua Kushambulia ndani ya China). Ndio maana Marekani inapeleka Anti-Ship Missile Kule Taiwan ili kuzizamisha Meli za Kichina zitakazojaribu Kuingia kwenye Anga la Taiwan.
 
Serikali ya Marekani imeamua kupeleka silaha za kivita Taiwan ili ijilinde. Silaha hizo zina thamani ya Trilion 2.5 za Tsh

NB: Naona Karim Mandonga anatafutwa

BREAKING: The United States has announced a weapons package worth $1.1 billion for Taiwan
Marekani asije tu kulalamika China au Russia watakapoanza na wao kupeleka silaha kubwa za kivita ktk baadhi ya nchi. Marekani huwa anaanzaga kufanya jambo la ovyo. Wanzake wakija kufanya jambo kama hilo alilolifanya yeye, anatokwa na mapavu
 
chonde chonde USA peleka silaha zote lakini HIMARS Peleka za kushiba.
Hizo HIMARS Russia ameshazipatia dawa yaani zinavoteketezwa mpaka mu ukraine anaona sasa namuaribia soko mzee mzima.

Wameomua kuja na uhongo wa kijinga kuwa hwanategeshea Russia HIMARS za mbao ili kumlindia soko mmarekani. MTAJARIBU SANA KULINDA SOKO LAKINI MTASHINDWA MAANA WENYE AKILI WAMESHANG'AMUA NINI KINACHOENDELEA
 
china ni mjinga sana !. kama aliweza kupeleka jeshi lake karibu na maeneo ya taiwani ana lalamika nini sasa!.

china na sema ni copy and paste kila jambo japo na ujuzi wote.

alivoona urusi akifanya kusogeza majeshi mipakani na yeye aliona kufanya hivo kutapelekea kuchukua kisiwa
Wamecheza baharini na kurudi macho yamevimba...bure kabisa bora hata mandogo anapata diliz
 
Back
Top Bottom