International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ulaya imeziasa nchi za Africa hasa zile zinazokabiliwa na baa la njaa kama vile Somalia na Kenya n.k, kula wadudu . Funza (Africa Caterpillars), nzige (Migratory Locusts), na nzi seusi ( Black...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tume ya Kulinda Data (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya jukwaa hilo kubainika kukiuka Kanuni ya Jumla ya Ulinzi wa Data (GDPR) kwa kuwaruhusu watoto kufungua akaunti ambazo zilionesha hadharani...
1 Reactions
1 Replies
799 Views
Russia's soldier shortage is so severe that it is recruiting in homeless shelters and considering pardons to criminals to fight in Ukraine The official said there is credible evidence suggesting...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habar ndiyo hiyo super power kakubali yaishe. Kakosa yote.Chezea Himas wewe. KATERYNA TYSHCHENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 22:54 Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, shared...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mgogoro Kati ya Ukraine upo kweli na Vita kubwa sana yaweza Kutokea baina ya Urusi na Ukraine wakisaidiwa na NATO. Chokochoko hapo ni Marekani tu ndio ambae anampa kiburi na kumdanganya Ukraine...
36 Reactions
131 Replies
16K Views
NEXT STOP [emoji1630] CRIMEA: wale wazee wa hizo HIMARS zimekomboa vijiji vingapi hadi sasa? Badilisheni magoli sasa. Twende kazi. Akizungumza Jumapili usiku, Rais Zelensky ameyashukuru majeshi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili, Samahani inawezekana swali hili linaulizwa sana au limesha ulizwa sana humu pia.Najua JF ni kitabu kikubwa sana cha maarifa na ufahamu kutokana na members wa JF kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Silaha au mabomu ya nyuklia hayalingani nguvu na hivyo hata ubora. Kila bomu la nyuklia huwa na mlipuko wake, na nguvu ya mlipuko huo hupimwa ktk kipimio kiitwacho kiloton. Ktk Top 10 ya mabomu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeiona hii habari Al Jazeera. Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla. Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Zote mbili ni ndege za abiria, zote mbili kwa nyakati tofauti zimetunguliwa na kile kinachodhaniwa kuwa ni makombora ya kutungulia ndege vita. Tatizo la ndege zote mbili ni kupita eneo la Vita...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12. Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Karibu watu 8 wameuawa wakiwemo walinzi 2 wa Urusi baada ya mtu mmoja kujitoa mhanga nje ya ubalozi wa Urusi Nchini Afghanistan. Mlipuko huo ulitokea wakati maafisa wa Ubalozi wa Urusi walipokuwa...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Himars kwa kwenda mbele, On Saturday, the Ukrainian armed forces said on its Facebook page that Russia had lost an additional 25 tanks, taking the total number of such vehicles reportedly...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukiona hivi ujue mkubwa kashikwa kubaya.Sasa hivi anaomba poo ,ila itakua jambo la busara wakiyamaliza mezani kiukweli vita siyo vizuri ,sikia kwa wenzako tuu. Zelesky tunaomba ushushe asira mambo...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
After destroying the human society, the CDC now admits natural immunity works better than COVID jabs. Sunday, September 04, 2022 After two and a half years of weaponizing public health messages...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa...
11 Reactions
88 Replies
5K Views
Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo. Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Back
Top Bottom