Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani...
Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo.
Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
UPDATES:
Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree...
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo...
Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo
Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali...
Europe’s impending depression is not to be discounted in terms of its relevance to the other side of the Atlantic. Since the turn of the century, US exports to the European Union have soared from...
Pope John Paul l ambaye wachamungu walipenda kumwita Smiling Pope, leo ametangazwa kuwa Mbarikiwa.
Hii ni hatua ya mwisho kabla hajathibitishwa kuwa Mtakatifu!
Source: BBC
Huyu aliyekua. Rais wa Russia kipind hicho cha ukomunist ,alifanya mengi mazuri ,ila kuna mambo alichemka ,siyo mbaya kuna kufeli plan ,kufel plan siyo kwamba binadamu anapenda ,ila Putin...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni...
Kuna baadhi yetu tunaamini kwamba Urusi ameshindwa vita nchini Ukraine, lakini kwa sasa Urusi wanaendelea na zoezi la kusafisha maeneo yote waliyokua wameyakalia Ukraine.
Zoezi lijulikanalo kama...
Wanamgambo wa Al-Shabaab wametajwa kuhusika katika vifo vya Watu 21 na kuharibu magari yaliyokuwa yamebeba chakula cha msaada katika shambulizi Mkoani Hiran Nchini Somalia.
Magari yalikuwa...
Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine.
Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji.
Four trucks carrying food...
Naomba kufahamu, ni kwa nini USA na nchi tajiri za magharibi huwa haizibani na kuiwekea vikwazo nchi ya Myamar ingawa ni muda mrefu sasa naona inavunja haki za binadamu na kuharibu Demokrasia...
Wizara ya Afya imesema hadi sasa Mlipuko wa ugonjwa wa Surua umesababisha vifo vya watu 685, huku mpango wa chanjo nchini kote ukiendelea
Kesi 6,034 za ugonjwa huo zimeripotiwa nchini humo...
Mutuombee…’’ majaji watoa wito huo wanapojitayarisha kutoa hukumu yao
Maelezo ya picha.
Majaji wa Mahakama ya Juu Zaidi watatoa uamuzi wao Jumatatu 3 Septemba 2022.
Kusikilizwa kwa kesi ya...
Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa.
Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7...
MTU yeyote anayeshangilia kwa sababu ya kubana tu kwa Zambia kwa deni zaidi ni mjinga. .mengi yanahitajika kufanywa, zaidi sana, kwa mawazo na matendo, yanahitajika kwetu sote raia ikiwa uchumi wa...
Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.