Kwanini Urusi ndio iliumia kuvunjika kwa USSR kuliko washirika wengine

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi.

Urusi aliingilia kati na akafanikiwa kulinda madaraka ya Rais wa Belarusi, Ingawa kwa Rais Pro Russia wa Ukraine ilishindikana kabisa.

Hata katika upigaji wa kura wakati wa anguko la USSR wananchi wa Urusi ndio walipiga kura umoja huo uendelee.

Wakati Urusi akiwa dhaifu baadhi ya wananchi wanachama wengi wakakimbilia NATO na alipoanza imarika wengi wakazidi hamia upande wa pili.

Na sasa akiwa katika kilele cha uimara wake hata nchi ambazo hazifungamani na yoyote wamejiunga na umoja huo.

Je, Urusi alizitawala kimabavu

Au ndio umoja wa Masikini haudumu tofauti na Matajiri
 
Katika Hali ya kawaida Urusi ndio alikua Mkubwa wa Hawa wasoviet wengine.
Kwa hiyo kutaka kujitenga kwao maana yake ukuu wa Urusi ulipungua,hiyo ndio kero ya Urusi.

Zanzibar Kila siku wanataka kujitenga,Tanganyika hatutaki hata kama Zanzibar ni mzigo kwetu,kwa sababu ukuu wa Tanganyika utatoweka.

UK kuna jamhuri inataka kujitenga na united kingdom,UK kuu haitaki kwa sababu ya kuhofia ukuu wa UK kutoweka.

USA ikatokew Leo Jimbo kama California likataka kujitenga utaona mziki wake.

Ulaya Kila siku wanataka Kitu kinaitwa European Army.

Hii European Army ni umoja wa jeshi la ulaya. USA hataki kabisa kuusikia hili jambo,kwa sababu NATO itatoweka.Nato ikitoweka ukuu wa USA kijeshi utatoweka.kwa sababu USA anahitaji NATO kuidhibiti Urusi.

Ingawa Sasa tumeshajua kua NATO ni kwa nchi kama Iraq,Libya na wala sio Watalaban.
 
Kwa hiyo kutaka kujitenga kwao maana yake ukuu wa Urusi ulipingua,hiyo ndio kero ya Urusi.

Umemaliza
 
Umegonga mule mule
 
Kwa sababu swali lako katika title halijawa specific, suala la "Urusi ndio iliumia" linaweza kuzua mjadala mwingine kutegemeana na huko "kuumia" hasa kumemlenga nani, eneo lipi au masuala gani kitaifa.

Kama ni katika suala la kiuchumi, Urusi iliumia vilevile ikiwa ndani ya USSR hasa wakati wa mdororo wa uchumi. Uchumi na gharama za kuendesha nchi zote zilizokuwa ndani ya USSR vilikuwa centralized Moscow.

Kwa lugha nyepesi, mapato ya kiuchumi na fedha ambazo zingetumika kuiendesha na kuijenga Urusi kama nchi huru zilitakiwa kuendesha nchi takribani 15 kutokea Moscow, chini ya sera za kikomunisti za serikali ya chama kimoja.

Je, unakubaliana na mimi kuwa huo ni mzigo wenye kuleta maumivu kwa nchi inayo dominate huo muungano?

Tuachane na hilo.

Kuna issue nyingine tofauti kidogo ambayo inahusisha zaidi maoni ya Warusi wa hivi sasa juu ya maisha ya sasa na yale ya kipindi chote cha uliokuwa Umoja wa Kisovieti.

Baadhi ya tafiti za taasisi mbalimbali zimekuwa zikionesha kuwa Warusi wengi hivi sasa wanajuta (regret) kuvunjwa kwa muungano (USSR). Wengine wakiona kuwa USSR ilikuwa karibu zaidi na wao [wananchi] kuliko hivi sasa.

Sasa, kusema "Warusi wanajuta" ni tofauti na kusema "Urusi iliumia" ama "inaumia". Pia, kunaweza kuwa na uhusiano fulani kati ya maneno hayo, na huo ni mjadala mpana zaidi.
 
Katika Hali ya kawaida Urusi ndio alikua Mkubwa wa Hawa wasoviet wengine.
Kwa hiyo kutaka kujitenga kwao maana yake ukuu wa Urusi ulipingua,hiyo ndio kero ya Urusi.

Zanzibar Kila siku wanataka kujitenga,Tanganyika hatutaki hata kama Zanzibar ni mzigo kwetu,kwa sababu ukuu wa Tanganyika utatoweka.

UK kuna jamhuri inataka kujitenga na united kingdom,UK kuu haitaki kwa sababu ya kuhofia ukuu wa UK kutoweka.

USA ikatokew Leo Jimbo kama California likataka kujitenga utaona mziki wake.

Ulaya Kila siku wanataka Kitu kinaitwa European Army.

Hii European Army ni umoja wa jeshi la ulaya. USA hataki kabisa kuusikia hili jambo,kwa sababu NATO itatoweka.Nato ikitoweka ukuu wa USA kijeshi utatoweka.kwa sababu USA anahitaji NATO kuidhibiti Urusi.

Ingawa Sasa tumeshajua kua NATO ni kwa nchi kama Iraq,Libya na wala sio Watalaban.
Umeeleza kuwa Urusi ndiyo ilikuwa "mkubwa" kuliko yote. Ukiniuliza mimi ni kwa namna gani, nitakuambia kuwa Urusi kupitia Moscow ndiye aliyekuwa mnufaika mkuu wa huo muungano geopolitically kuliko wenzake ndani ya muungano.

Maana yake ni kuwa, kuna maumivu katika suala la geopolitics tukitumia neno "iliumia" la mleta mada. Urusi iliumia kwa Moscow kupoteza ushawishi katika siasa za kijiografia baada ya muungano kuvunjika.

Masuala ya muungano katika hizo nchi zingine ulizozitaja ni masuala yenye kuzua mijadala mingine migumu na tofauti zaidi ya huu wa USSR.

Mfano mdogo tu; ni jamhuri ipi hiyo ya UK unayosema inataka kujitenga?
 
Naweka kambi hapa.Lakini nimesikia kuna myahudi ambaye alikuwa mkuu wa KGB kipindi hicho,ndiye aliye saliti umoja na baadae alienda kuishi USA.
 
Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi.

Urusi aliingilia kati na akafanikiwa kulinda madaraka ya Rais wa Belarusi, Ingawa kwa Rais Pro Russia wa Ukraine ilishindikana kabisa.

Hata katika upigaji wa kura wakati wa anguko la USSR wananchi wa Urusi ndio walipiga kura umoja huo uendelee.

Wakati Urusi akiwa dhaifu baadhi ya wananchi wanachama wengi wakakimbilia NATO na alipoanza imarika wengi wakazidi hamia upande wa pili.

Na sasa akiwa katika kilele cha uimara wake hata nchi ambazo hazifungamani na yoyote wamejiunga na umoja huo.

Je, Urusi alizitawala kimabavu

Au ndio umoja wa Masikini haudumu tofauti na Matajiri
Nchi zile zilikuwa kuwa makoloni ya Urussi kikawaida Kwa colonial power kupoteza coloni ni maimivu Kwa sababu walikuwa wanajipatia vitu vingi ikiwemo nguvu kazi
 
Naweka kambi hapa.Lakini nimesikia kuna myahudi ambaye alikuwa mkuu wa KGB kipindi hicho,ndiye aliye saliti umoja na baadae alienda kuishi USA.
 
Umeeleza kuwa Urusi ndiyo ilikuwa "mkubwa" kuliko yote. Ukiniuliza mimi ni kwa namna gani, nitakuambia kuwa Urusi kupitia Moscow ndiye aliyekuwa mnufaika mkuu wa huo muungano geopolitically kuliko wenzake ndani ya muungano.

Maana yake ni kuwa, kuna maumivu katika suala la geopolitics tukitumia neno "iliumia" la mleta mada. Urusi iliumia kwa Moscow kupoteza ushawishi katika siasa za kijiografia baada ya muungano kuvunjika.

Masuala ya muungano katika hizo nchi zingine ulizozitaja ni masuala yenye kuzua mijadala mingine migumu na tofauti zaidi ya huu wa USSR.

Mfano mdogo tu; ni jamhuri ipi hiyo ya UK unayosema inataka kujitenga?
Northern Ireland wanatamani kujitenga na UK.
Kwa kumbukumbu ,zangu.
 
Nchi nyingi za ulaya zimekaa kimuungana UK kila siku Scotland anataka kujitenga na UK na naisi mwaka huu Kura ya kujitenga tena itafanyika maana kipindi cha waziri mkuu brown ilifanyika Ila wengi wakataka kubaki ndani ya UK Ila baada ya uingereza kujitoa umoja WA ulaya Scotland ikaona kama maamuzi ya kujitoa hawakushirikishwa kwaiyo Kura ya kujitoa imeandaliwa upyaa, Hispania Napo ivyoivyo Jimbo la Barcelona linataka kujitenga kila siku ukija Belgium, Germany, uholanzi, Denmark Italy kote uku pamkekaa kimuungano Kura ya kujitenga Jimbo la Barcelona kipindi kile ilikuwa hatri sana kwao ndyo maana pamoja na wananchi WA Barcelona kutumia demokrasia kujiondoa kwenye shirikisho Ila bado hawakuiafiki wakaona kura Ile ni haramu na kuwafunga wale viongozi hii yote ni kuzuia vuguvugu kuchipukia sehemu nyingine.

Uulaya haipo salama tena miaka kumi au 20 mbeleni ata 30 Aya mambo yatakujs kufumuka na hasa siku wakianza kujitegemea kutok USA lazima ataivuruga Tu ulaya nchi za ulaya zilifurahia sana kuanguka Kwa shirikisho la urusi miaka ya nyuma Ila Ili swala litakuja kujirudia kwao tu
 
Katika Hali ya kawaida Urusi ndio alikua Mkubwa wa Hawa wasoviet wengine.
Kwa hiyo kutaka kujitenga kwao maana yake ukuu wa Urusi ulipungua,hiyo ndio kero ya Urusi.

Zanzibar Kila siku wanataka kujitenga,Tanganyika hatutaki hata kama Zanzibar ni mzigo kwetu,kwa sababu ukuu wa Tanganyika utatoweka.

UK kuna jamhuri inataka kujitenga na united kingdom,UK kuu haitaki kwa sababu ya kuhofia ukuu wa UK kutoweka.

USA ikatokew Leo Jimbo kama California likataka kujitenga utaona mziki wake.

Ulaya Kila siku wanataka Kitu kinaitwa European Army.

Hii European Army ni umoja wa jeshi la ulaya. USA hataki kabisa kuusikia hili jambo,kwa sababu NATO itatoweka.Nato ikitoweka ukuu wa USA kijeshi utatoweka.kwa sababu USA anahitaji NATO kuidhibiti Urusi.

Ingawa Sasa tumeshajua kua NATO ni kwa nchi kama Iraq,Libya na wala sio Watalaban.
Sasa kama NATO ni kwa Middle East mbona nchi tulivu kama Finland, Sweden wametuma application ukiangalia pia Turkey ambae ni Mzungu Muarabu nae tyupo humo.

Sasa wanaondoka chini ya Mrusi wanaenda kuwa Chini ya Marekani?
 
Point yangu ni Nini hapa,point yangu ni kua NATO inaweza kuzipiga nchi kama Iraq na Libya TU.
Lakini kwa Urusi itakua ni kujitoa mhanga.

Hao Sweden na Finland kutaka kujiunga na NATO ni uoga TU uliowashika baada ya kuona Ukraine anatandikwa.
 
Nchi nyingi za ulaya zimekaa kimuungana UK kila siku Scotland anataka kujitenga na UK na naisi mwaka huu Kura ya kujitenga tena itafanyika maana kipindi cha waziri mkuu brown ilifanyika Ila wengi wakataka kubaki ndani ya UK Ila baada ya uingereza kujitoa umoja WA ulaya Scotland ikaona kama maamuzi ya kujitoa hawakushirikishwa kwaiyo Kura ya kujitoa imeandaliwa upyaa, Hispania Napo ivyoivyo Jimbo la Barcelona linataka kujitenga kila siku ukija Belgium, Germany, uholanzi, Denmark Italy kote uku pamkekaa kimuungano Kura ya kujitenga Jimbo la Barcelona kipindi kile ilikuwa hatri sana kwao ndyo maana pamoja na wananchi WA Barcelona kutumia demokrasia kujiondoa kwenye shirikisho Ila bado hawakuiafiki wakaona kura Ile ni haramu na kuwafunga wale viongozi hii yote ni kuzuia vuguvugu kuchipukia sehemu nyingine.

Uulaya haipo salama tena miaka kumi au 20 mbeleni ata 30 Aya mambo yatakujs kufumuka na hasa siku wakianza kujitegemea kutok USA lazima ataivuruga Tu ulaya nchi za ulaya zilifurahia sana kuanguka Kwa shirikisho la urusi miaka ya nyuma Ila Ili swala litakuja kujirudia kwao tu
wazungu wapo timamu sio km Urusi
 
Umeeleza kuwa Urusi ndiyo ilikuwa "mkubwa" kuliko yote. Ukiniuliza mimi ni kwa namna gani, nitakuambia kuwa Urusi kupitia Moscow ndiye aliyekuwa mnufaika mkuu wa huo muungano geopolitically kuliko wenzake ndani ya muungano.

Maana yake ni kuwa, kuna maumivu katika suala la geopolitics tukitumia neno "iliumia" la mleta mada. Urusi iliumia kwa Moscow kupoteza ushawishi katika siasa za kijiografia baada ya muungano kuvunjika.

Masuala ya muungano katika hizo nchi zingine ulizozitaja ni masuala yenye kuzua mijadala mingine migumu na tofauti zaidi ya huu wa USSR.

Mfano mdogo tu; ni jamhuri ipi hiyo ya UK unayosema inataka kujitenga?
Siyo jamuhuri bali ni Scotland.
 
Northern Ireland wanatamani kujitenga na UK.
Kwa kumbukumbu ,zangu.
Northern Ireland haiwezi kujitenga bila ya maamuzi ya walio wengi kupitia kura ya maoni. Pitia "The Northern Ireland Act" ya mwaka 1998. Na ili Northern Ireland ijitenge ni lazima hoja iungwe mkono kwa 50% + kura 1.

Kura ya maoni inaweza kuitishwa pale ambapo kutakuwa na viashiria vya walio wengi kuunga mkono suala hilo. Kwa sasa bado, tusubiri hapo baadaye.
 
Nchi nyingi za ulaya zimekaa kimuungana UK kila siku Scotland anataka kujitenga na UK na naisi mwaka huu Kura ya kujitenga tena itafanyika maana kipindi cha waziri mkuu brown ilifanyika Ila wengi wakataka kubaki ndani ya UK Ila baada ya uingereza kujitoa umoja WA ulaya Scotland ikaona kama maamuzi ya kujitoa hawakushirikishwa kwaiyo Kura ya kujitoa imeandaliwa upyaa, Hispania Napo ivyoivyo Jimbo la Barcelona linataka kujitenga kila siku ukija Belgium, Germany, uholanzi, Denmark Italy kote uku pamkekaa kimuungano Kura ya kujitenga Jimbo la Barcelona kipindi kile ilikuwa hatri sana kwao ndyo maana pamoja na wananchi WA Barcelona kutumia demokrasia kujiondoa kwenye shirikisho Ila bado hawakuiafiki wakaona kura Ile ni haramu na kuwafunga wale viongozi hii yote ni kuzuia vuguvugu kuchipukia sehemu nyingine.

Uulaya haipo salama tena miaka kumi au 20 mbeleni ata 30 Aya mambo yatakujs kufumuka na hasa siku wakianza kujitegemea kutok USA lazima ataivuruga Tu ulaya nchi za ulaya zilifurahia sana kuanguka Kwa shirikisho la urusi miaka ya nyuma Ila Ili swala litakuja kujirudia kwao tu
Hapo unaposema "Ulaya haipo salama tena" panazua mjadala mwingine interesting.

Migogoro ya namna hii imekuwepo kwa muda mrefu sana katika bara la Ulaya. Sidhani kama kwa sasa hali ndio mbaya zaidi kuliko zamani.

Kwa maoni yangu, kwa sasa hali ni njema zaidi kuliko miaka mingi ya nyuma katika historia ya Ulaya.

Mfano; migogoro ya sasa hivi unaweza kufananisha na ile ya miaka ya 90 kurudi nyuma? Unaweza kufananisha vita ya Bosnia na Herzegovina ya mwaka 92 na mgogoro gani wa hivi sasa?

Ama yale mapambano ya Croatia ya mwaka 91 na kuendelea, yana unafuu kuliko sasa? Vipi kuhusu yale maasi ya Uhispania miaka ya 30 yaliyozua vita kuu ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1936?

Tuongezee na zile vita kuu mbili za dunia? Hiyo ni karne ya 20 peke yake, tukianza kufuatilia karne ya 19 kurudi nyuma ndio balaa zaidi. Sidhani kama Ulaya imewahi kuwa salama zaidi kuliko karne hii ya 21 so far. Ikiwezekana, tusubiri karne hii imalizike tuone lipi lililo jipya.
 
Back
Top Bottom