Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,706
- 10,229
Tusipoteze wakati,
Ukiwaambiwa watu raisi anakutana na USA, watu watalalamila USA wanaleta ushoga, Ukiwaambia tumesaini mkataba na umoja wa Ulaya watasema masuala ya ushoga, ukiwaambia naenda USA watasema unaenda kwa mashoga.
Hali imekuwa mbaya kiasi watu hawapendi tushirikiane na west countries kwa kigezo cha mashoga licha ya kuwa kiukweli ili tutoboe kiuchumi kwa dunia hii hawa jamaa hawakwepekihata ufanye vipi lazima wahusike.
Issue ni kuwa je, USA wanaeneza ushoga ? Au ni sisi wenyewe tunavyolawiti watoto makanisani na misikitini na kisha kuchekeana bila kuchukulia hatua? Au tunavyolawitiana majumbani mwetu bila kuchukuliana hatua ?
Mtoto analawitiwa toka ana miaka 7 akiwa either kanisani, msikitini au hata majumbani mwetu na mashuleni, then mtoto huyu akifika miaka ,25 akawa kama afande wa zenji watu watasema ni West Countries.
Binafsi naona tunajitahidi tu kuhamisha lawama lakini issue ya ushoga ni sisi wenyewe kama jamii tunaizalisha na kuipalilia na kisha tunalaumu wengine pale inapotoa matunda yake, tujitahidi kufix issue ya malezi, tuwe wakali kwenye kesi za kulawitiwa haijalishi imetokea kanisani, msikitini au hata nyumbani.
Pia tuwafunde vijana wetu vyema katika familia badala ya kukaa na kumtafuta wa kumpa lawama daily