International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Macron akiwa kama mshirika muhimu wa umoja wa ulaya amefanya kitu kinacho onekana kama ni kuiwekea vikwazo yva kimsaada Ukraine. Huku bwana Zelenskyy akiendela kuililia ulaya iendelee kumpa...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
https://www.yahoo.com/news/no-asteroid-impacts-needed-newborn-210053397.html
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa Kiongozi wa serikari ya Sudani ya kaskazini na naibu wake wametofautiana. Jambo ambalo limesababisha jeshi kugawanyika na kuanza kupigana wao kwa wao, je mzizi wa mgogoro huu ni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Thread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa. Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Ma-security guards wa kirusi wa kampuni ya Wagner (kama hawa K4S security guards wa Bongo) wanaopambana na special forces wa USA, UK+ NATO huko Ukraine, wameamua kusherehekea sikukuu ya Pasaka ya...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini...
2 Reactions
81 Replies
5K Views
Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Zimesalia siku 2 tu kabla ya kuweza kutazama majaribio ya urushwaji wa Rocket kubwa ya Starship ambayo ndio rocket kubwa mpaka sasa katika kizazi cha Rocket Katika kufanya safari za Mwezini na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuondolewa madarakani kwa dikteta wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir mwaka 2019 hakukusaidia nchi hiyo kujikwamua kutoka katika misukosuko na machafuko yake ya kisiasa ya muda mrefu. Sasa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Israel ilijua zamani kuwa bila kuzitumia nchi mbili zilizo jirani yake kama kinga dhidi ya uvamizi wa taifa la Palestina basi hawataweza kuendelea kuwapo pale kama taifa.Nguvu ya kijeshi...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Urusi imepitisha sheria inayopiga marufuku matangazo na propaganda za aina yote yahusuyo ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo almaarufu kama LGBTQ. Sijui kama nchi zetu hizi za kiafrika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
I have reported here that the Russian War is a multidimensional operation,including harvesting of human organs,Adechrome tapping and a demonic csfeteria.Now a Russian probe claims that Ukrainians...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Kuna dhana nyingi ambazo watu huzitumia bila kujua zina-maanisha nini hasa. Baadhi ya dhana hizo zina ajenda mbaya, kwa hivyo unapozitumia, unasaidia kuendeleza ubaya unaotokana na ajenda hizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Siku ya jana umoja wa ulaya uliweza kurusha chombo anga za mbali ambacho kimepewa jina la Juice space craft kuelekea katika safari ya miaka 7 ya uchunguzi kwenye miezi mbalimbali ya sayari ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Gleb Karakulov, aliyekuwa mwanausalama wa muda mrefu katika kikosi mahiri cha ulinzi cha Putin alitoroka katika utumishi huo akiwa na cheo cha Kapteni huko Kazakhstan kabla ya kukimbilia West...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Back
Top Bottom