Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Donald Trump atakapoapishwa,akishusha tu mkono walinzi wote wa Ikulu wataachishwa kazi ya kumlinda.

Donald Trump anakuja na walinzi wake,among them 1000 Russians or russian- trained private security agents.

Kwa mini rais wa Marekani alindwe na Warusi nashindwa kuelewa..

Wakati wa ile kampeni baada ya ile assassination attempt on Trump , Trump ghafla alikuwa amebadili jinsi ya kuzungumza,akawa anazungumza na akili shwari zaidi.

Nakumbuka BBC reporter anamuuliza mwenzake wa Marekani(wale reporters wawili wrote wanawake)

Baada ya kumsikia Donald Trump anaongea, anamuuliza mwenzake,""Interesting new tone there'"

Yule mwenzake anamjibu,"Yes,if he is elected to the White House we will not know which Donald Trump has been elected"
 
President-elect Trump is brutally fighting against these "Deep State" CIA- led forces trying to destroy him-

who has surrounded himself with one of the most feared private mercenary forces ever known that includes at least 370 ultra- elite Russian military trained special forces.

(It gets better)
 
The importance of noting the now private ultra- elite Russia special forces troops protecting President-elect Trump and his family, is that many of them were trained by the Committee for State Security (KGB)
 
whose ruthless tactics against their enemies when they are threatened are legendary-

and extends to the families of those seeking to do them harm that they have no problem at all in killing.
 
Poor decision...angekuwa ana akili, angechukua haohao wanaotaka kumuuwa (CIA) wamlinde...hapo wangehakikisha hafi chini ya mikonoyao...Mandela pila alifanya hivyo hivyo...baada ya kuwa head of state, top security/protection ring yake ilikuwa ya wazungu/makaburu..hawakuweza kukubali afie kwenye mikonoyao...
In short, Trump hajui msemo wa waswahili.... "mtoto mpe mchawi amlee"!
 
Hii habari sikuilewa ila baada ya kugundua imeletwa humu na Andrea mwana wa Nyerere nimeelewa.
 
Poor decision...angekuwa ana akili, angechukua haohao wanaotaka kumuuwa (CIA) wamlinde...hapo wangehakikisha hafi chini ya mikonoyao...Mandela pila alifanya hivyo hivyo...baada ya kuwa head of state, top security/protection ring yake ilikuwa ya wazungu/makaburu..hawakuweza kukubali afie kwenye mikonoyao...
In short, Trump hajui msemo wa waswahili.... "mtoto mpe mchawi amlee"!
Hivi J.F.Kenedy na wale wengine walouawa walikuwa wanalindwa na nani?
 
Back
Top Bottom