International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa Hijabu katika maeneo ya Umma ikiwemo Burka na Niqab zinazovaliwa na wanawake wa dini ya Kiislamu. Matokeo rasmi yanaonesha kwamba waliounga...
9 Reactions
214 Replies
14K Views
Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu...... Supapawa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika mji wa Karamay mkoani Xinjiang Uighur, China kuna soko moja la usiku ambalo ni maarufu sana. Soko hili linajulikana kwa jina la 'Farasi Wanane'. Baada ya matembezi ya siku nzima wenyeji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa. Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test. Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Ushiriki wa Marais wa nchi za Afrika uliofanyika jiijini ST. Petersburg nchini Urusi si sahihi kuupa sura kuwa Marais hao wamemsusia raisi Putin kama wapinzani wa nje wa Urusi wanavyojaribu kuteka...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mara tangazo la raisi Bazoum kushikiliwa na walinzi wake lilipotoka ilionekana kama ni jaribio la mapinduzi ambalo lingeshindwa.Lakini hata hivyo kiongozi wa kikundi hicho Gen Abdourahmane Tchiani...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii. Hatua hii inakuja...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wachambuzi wa kijeshi zaidi na zaidi wameingia kati kuashiria kuwa Ukraine haiwezi kushinda vita vinavyoendelea katij yaje ba Urusi. Baadhi ya wachambuzi hao wamesema raisi wa Zelenky katika vita...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger Jumatatu umeishutumu Ufaransa kutaka ‘kuingilia kati kijeshi’ ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’atuliwa Mohammed Bazoum, huku mivutano ikiongezeka kati ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahali halisi ya kile kinachodhaniwa kuwa ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika huenda imepatikana - BBC imekuwa ikiangazia juu ya umuhimu wa ugunduzi huo nchini Ghana. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:- 1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii video hapa chini inaonyesha namna Warusi kwenye mji wao mkuu wanakipata freshi, Zelensky amewaambia mpaka hapo walipofika hamna jinsi ila kuhakikisha Warusi pia na wao wanapokea, itabidi...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Argentine court starts trial of Catholic bishop accused of sexual abuse By Agustin Geist BUENOS AIRES, Feb 21 (Reuters) - The trial of a Roman Catholic bishop accused of sexually abusing young...
5 Reactions
100 Replies
7K Views
Kadiri unavyotaka kuujua kwa undani zaidi mkoa wa Xinjiang Uygur, China, ndivyo mkoa huu unavyoendelea kukuacha mdomo wazi, na kama ulidhani kwamba unaujua vizuri, basi kuna mambo mengi ya...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Hiki ndio kinawasumbua kumbe na ndio kimesababisha Putin aamue tu bora jeshi lake liishe lote tu. Hapa kiaina kuna kaukweli maana Urusi imepoteza hadhi yote mpaka hapo, na ikishindwa kabisa na...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
External Pressure followed by a range of sanctions now looming for KK regime. What ODM oughtn't to do is to let go Ruto's lame-duck governance that now cost Kenya in terms of bloodshed. ODM...
2 Reactions
8 Replies
910 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…