Zelensky awatahadharisha Warusi kwamba vita vinawakuta ndani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Hii video hapa chini inaonyesha namna Warusi kwenye mji wao mkuu wanakipata freshi, Zelensky amewaambia mpaka hapo walipofika hamna jinsi ila kuhakikisha Warusi pia na wao wanapokea, itabidi waache kukaa kizembe, waangaze macho angani muda wowote.

Ukraine kainchi kadogo lakini kamefanya kitu ambacho hakikutabiriwa kabisa....binafsi niliogopa walipoanza mashambulizi ya ndani ya Urusi, nilidhani Putin atabonyeza manyuklia yake, nafikiri ule uasi ulimfundisha kitu, kwamba humo humo Urusi anaweza akaamshiwa muda wowote akifanya maamuzi ya hovyo, kwa maneno ya vijiweni, kawa mpole, kanyong'onyea, kanywea, kapwayaa, kasinyaa...

China na wengine wote wamejifunza pakubwa.

The war is coming to Russia, Zelenskiy warns after latest drone attack​

Ukrainian president makes veiled reference to this week’s attacks in nightly video address
 
Subiri Warusi wa Tandale watakavyokuvamia hapa
 
Sasa unaweza mpiga mtu wakati kachukua maeneo yako hujayarudisha bandali zako amezizibiti alafu unaleta maneno kanga rudisha maeneo yako kwanza ndo mambo mengine yaendelee
 
Alikua achukue nchi yote, kapeleka kiherehere Kyiv na kuangukia pua, sasa hayo maeneo aliyokua amechukua mpaka sasa amepoteza 50% licha ya kusababisha maana ya wanajeshi zaidi ya laki mbili....hehehe takbir
 
Ndugu MK254 Je Wajua Nini Kuhusu MISINK AGREEMENT ...? Tuanze Hapo KWANZA Halafu tuendelee
 
Sasa unaweza mpiga mtu wakati kachukua maeneo yako hujayarudisha bandali zako amezizibiti alafu unaleta maneno kanga rudisha maeneo yako kwanza ndo mambo mengine yaendelee
kupigana hakuna formula mjomba naye anaweza anza kutafuta koroni lake urusi nisuala lamuda
 
Itakuwa Zelensky ameishaweka mambo sawa ya kulipiza endapo Urus atatumia nyuklia.

Sasa ambacho ameamua Zelensky ni kuanza kupiga ndani ya Urus ili nao wao waonje adha ya vita. Kitakachotokea ndani ya Urus ni wananchi kukasirishwa na vita na kuanza kumbana Putin amalize vita.

Bila ya Ukrain kupiga Urus, itakuwa ngumu sana Warus kuhisi uchungu wa vita.

Kamwe sidhani kama Putin atatumia Nyuklia kwa sababu ndio utakuwa mwisho wake na Warusi pia watashambuliwa na Nyuklia.

Kazi kwao!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom