Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao...
TUMSIFU YESU KRISTU.
Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku...
Ten thousand Ukrainian Armed Forces soldiers surrendered via the Volga radio wave
While aggressive Kiev propaganda inflates the military significance of the approaching “Day of Defenders,” the...
Hiii ni kweli kama umemaliza degree na huoni umuhimu wake we warudishie cheti wakupe ada uliyolipa ili uanzishe biashara.
===
Oludare Alaba; ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha LAUTECH...
Mifumo ya rokets ya Marekani ikiwemo HIMARS, ambayo huwa yadaiwa eti ni bora zaidi Ulimwenguni, imekuwa ikidhoofishwa kielektoniki (jamming) na Urusi huko Ukraine na hivyo kushindwa kufanya kazi...
BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE.
Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train.
High-Speed Train ni...
"Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema.
Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema.
Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika...
Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo.
Pamoja na kukubali...
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics
1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric
3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117
4. Misri...
Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe...
Mifumo ya Urusi imeshindwa kuzuia mvua ya mabomu ya drones.....miji inapigwa kizembe sana.
SCREENSHOT
Drones attacked the Russian cities of Smolensk and Sochi on the morning of 1 October...
Imeandikwa na OLESYA GERASIMENKO / Ikahaririwa na LORNA HANKIN / Ikahakikiwa na BY SAM HORTI
CHANZO CHA PICHA,AFP
Katika nyakati za alfajiri mnamo tarehe 14 Januari mwaka 2020, vilio vilisikika...
Baraza la wawakilishi la Marekani Jumamosi limepitisha mswaada wa sheria wa kuifadhili serikali kuu kwa siku 45 na hivvo kuepusha kufungwa kwa shughuli za serikali. Mswaada huo ulipitishwa kwa...
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for...
Ingekuwa ni Tanzania CHADEMA wangesema Rais analalamika Sasa nani atatue.
Haya Sasa Biden yuko kwenye mgomo Kuunga mkono Madai ya Wafanyakzi wa Marekani kuboreshewa stahiki zao...
Ofisi ya Mashtaka wa Gabon imeagiza Idata za Usalama chini ya ulinzi wa nyumbani Sylvia Bongo Ondimba, Mke wa aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo Ondimba baada ya Mahakama kupokea mashtaka...
Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa....
SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV
Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.