Yaani washamchokaDongo baya sanaa
Kwanini mkuuKingereza ni lugha ngumu sana kueleweka kwa wengi.
Hii ndo mwinjuma muumini aliimba unakula sembe ya bure na kujaza choo.....Hayo yote yalianzia baada ya Elon musk kupost pic ya Zelensky akiambatanisha maneno kuwa"Ile inapita dakika Tano na haujaomba msaada wa dola billioniView attachment 2769820