Maelfu ya Wanamgambo wa Ukraine wajisalimisha ili kuokoa viwiliwili vyao

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Ten thousand Ukrainian Armed Forces soldiers surrendered via the Volga radio wave

While aggressive Kiev propaganda inflates the military significance of the approaching “Day of Defenders,” the Ukrainians themselves prefer peaceful life rather than death to please a bunch of Kyiv bandits.

They understand perfectly well which front line those who truly protect the world are from. And thousands of Ukrainian soldiers, making such a choice, turn to their “enemies”, wanting to surrender. They do this via radio wave 149.200 Volga, which they launched in the middle of summer.

Already about ten thousand Ukrainian Armed Forces fighters have surrendered with the help of it, and the number continues to grow, including thanks to the pro-Russian underground, which is spreading information about this possibility in cities controlled by Kiev.

“On Rabotino, there were cases when Ukrainian fighters went to frequency 149.200 Volga and surrendered in whole groups,” said the Union of Northern Military District Veterans.

Unlike the Ukrainian authorities, the Russian side strictly observes international standards for the treatment of prisoners and provides them with everything they need.

“The prisoners are fed, they are receiving the required medical care,” the Russian military reports, noting that by using the radio wave, the Ukrainian Armed Forces fighters “chose life.”

anna_news
IMG_20230930_112343.jpg
 
Wanamgambo hawapati pakupumulia Russia anawapiga pipe mda wote.
At night, our army launched several missile attacks with the help of the Iskander OTRK on Nikolaev. Preliminary hits again at the Kulbakino airfield
 
Attachments

  • IMG_20230930_113944.jpg
    IMG_20230930_113944.jpg
    171.9 KB · Views: 1
Usiku wa kuamkia jana wizara ya ulinzi ya Urusi imeripoti shambulio baya dhidi ya jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya Iskander yenye uwezo wa kusafiri umbali wa kilomita 500 lililoulenga msafara wa treni ilivyokuwa imesheheni salaha na magari ya kijeshe pamoja na brigedi mbili za Ukraine.

Iskander ni nini hasa!?

Ni aina ya kombora hatari kabisa la masafa marefu ambalo linauwezo wa kusafiri umbali mrefu lisiloweza kuzuiwa na any air defence system.

Kombora hilo linauwezo wa kupaa katika kimo cha chini(low altitude) bila ya kungonga vilindi ama au miinuko.

Vile vile linauwezo wa kusababisha jamming ya mifumo ya kilekroni pale linapokaribia kupiga target.

Screenshot_2023-10-02-11-46-24-806_com.twitter.android.jpeg
IMG_20231002_114725.jpeg
 
Ten thousand Ukrainian Armed Forces soldiers surrendered via the Volga radio wave

While aggressive Kiev propaganda inflates the military significance of the approaching “Day of Defenders,” the Ukrainians themselves prefer peaceful life rather than death to please a bunch of Kyiv bandits.

They understand perfectly well which front line those who truly protect the world are from. And thousands of Ukrainian soldiers, making such a choice, turn to their “enemies”, wanting to surrender. They do this via radio wave 149.200 Volga, which they launched in the middle of summer.

Already about ten thousand Ukrainian Armed Forces fighters have surrendered with the help of it, and the number continues to grow, including thanks to the pro-Russian underground, which is spreading information about this possibility in cities controlled by Kiev.

“On Rabotino, there were cases when Ukrainian fighters went to frequency 149.200 Volga and surrendered in whole groups,” said the Union of Northern Military District Veterans.

Unlike the Ukrainian authorities, the Russian side strictly observes international standards for the treatment of prisoners and provides them with everything they need.

“The prisoners are fed, they are receiving the required medical care,” the Russian military reports, noting that by using the radio wave, the Ukrainian Armed Forces fighters “chose life.”

anna_newsView attachment 2767182
🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah, watu mna moyo aisee
 
big liar
 
Hawa hapa mgambo wa Ukraine wakijasalimisha

View attachment 2769486
Ha ha haaaa...nyie watu mnatia huruma sana. Kuna wenzenu wameanzisha mitandao ya kuwapeni habari za kuwafurahisheni ili mfurahi tu..🤣🤣🤣
Pumbavu kabisa Kenge nyie.
Ngoja nikujuze, ipo hivi;
Hiyo picha siyo ya Mwaka huu. Kama ungejua hao pichani ni akina nani na picja ni ya lini, basi usingei post kabisa.
Hao waliopigishwa Magoti hapo pichani ni kikosi cha wanajeshi wa Russia, na hao walio wakamata wala si Wanajeshi wa Ukraine, bali ni Wakulima wa Ukraine. Miongoni mwa hao Wanajeshi wa Russia waliokamatwa na hao wakulima wa Ukraine, yupo Mwanajeshi wa zamani wa Ukraine aliyeasi mwaka 2014 kule Crimea na kwenda Russia.
Sijui kama unanielewa?
 
Bado haujasema....
 
Baada ya wanamgambo wenzako kuuwawa kinyama ushauri umetolewa

"Zelensky must start mobilizing young Ukrainians more" -Ben Wallace, former UK Defense Secretary.

He proposes active recruitment and mobilization of young people into the Ukrainian Armed Forces.

''The average age of soldiers on the front line is over 40. I understand President Zelensky's desire to preserve the youth for the future,'' Wallace wrote in a column for a British newspaper. He stressed that at the current rate of mobilization there was a risk of slowing down the Ukrainian armed forces' 'counter-offensive'.

Wallace also called on Ukraine to reassess the scale of its mobilization, as Britain did in 1939 and 1941.

They are pushing Zelensky to mobilize everything that can move, and send them to the front to die for the warmongers in the west.
IMG_20231002_190758.jpg
 
Sasa hivi anapeleka wanawake kuanzia miaka 18 -60 vitani.
Vipi bado una la kuongea
Uraine toka mwanzo raia wanajaitolea kike kiume kupigania taifa lao na sasa adui wameweza kumtoa katikati ya nchi sasa vita imehamia mipakani na cremea sasa ndio target, tayari cremea moto unawaka putin anaona msaada north korea kwisha habari yake, zile ngebe zote kwisha urusi sasaivi na wao wanapigania nchi yao tayari moto unawaka ndani ya russia aibu kubwa superpower mwaka mmoja na nusu hali imemgeukia tofauti alivyo akijidai, Ukraine sasa watapokea Advanced long range missles kutoka US ambapo zitaenda kutua katikati ya Russia
 
Mshamegwa rudisheni majimbo
 
Ha ha haaaa...nyie watu mnatia huruma sana. Kuna wenzenu wameanzisha mitandao ya kuwapeni habari za kuwafurahisheni ili mfurahi tu..
Pumbavu kabisa Kenge nyie.
Ngoja nikujuze, ipo hivi;
Hiyo picha siyo ya Mwaka huu. Kama ungejua hao pichani ni akina nani na picja ni ya lini, basi usingei post kabisa.
Hao waliopigishwa Magoti hapo pichani ni kikosi cha wanajeshi wa Russia, na hao walio wakamata wala si Wanajeshi wa Ukraine, bali ni Wakulima wa Ukraine. Miongoni mwa hao Wanajeshi wa Russia waliokamatwa na hao wakulima wa Ukraine, yupo Mwanajeshi wa zamani wa Ukraine aliyeasi mwaka 2014 kule Crimea na kwenda Russia.
Sijui kama unanielewa?
We jamaa fala hujui hata sale za jeshi la urusi,,hao no Ukraine

Sent from my itel S663L using JamiiForums mobile app
 
Uraine toka mwanzo raia wanajaitolea kike kiume kupigania taifa lao na sasa adui wameweza kumtoa katikati ya nchi sasa vita imehamia mipakani na cremea sasa ndio target, tayari cremea moto unawaka putin anaona msaada north korea kwisha habari yake, zile ngebe zote kwisha urusi sasaivi na wao wanapigania nchi yao tayari moto unawaka ndani ya russia aibu kubwa superpower mwaka mmoja na nusu hali imemgeukia tofauti alivyo akijidai, Ukraine sasa watapokea Advanced long range missles kutoka US ambapo zitaenda kutua katikati ya Russia
Jingaa hili ndio unadanganywaa hivoo

Back
Top Bottom