Magaidi ya ADF yenye mlengo wa Islamic State (IS) yaendelea kuchinja watu DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu.

=======

Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two civilians and a suspected assailant dead in eastern DR Congo, authorities said on Saturday.

Two truck drivers, a Kenyan and a Congolese, were shot dead Friday night by IS-affiliated Allied Democratic Forces (ADF) at a car park in Kasindi, Beni territory, said Barthelemy Kambale, a North Kivu provincial civil servant.

A fifth dead body was assumed to be an assailant, he told AFP.

Kasindi was the scene of a Pentecostal church bombing blamed on the ADF which killed about 15 people last January, and for which IS claimed responsibility.

Uganda and the Democratic Republic of Congo (DRC) launched a joint offensive in 2021 against the ADF to drive the militants out of their Congolese strongholds, but attacks have continued.

Originally fielding mainly Muslim Ugandan rebels, the ADF gained a foothold in the region in the 1990s and are accused of slaughtering thousands of civilians.

"The ADF enemy arrived about 22:30 (2030 GMT), our forces blocked the road against the rebels," said Kambale, adding that "two Ugandan soldiers died during the operation".

Three vehicles were burnt out, he said. "People are angry, they burned the body of a dead ADF," said a local civil society representative, asking not to be named.

Twenty-six civilians died overnight Monday-Tuesday in a massacre attributed to the ADF near Oicha town, also in Beni territory, which has been the epicentre of the years-long rampage by the ADF, called Islamic State Central Africa Province by IS.

In Uganda, police said the ADF were behind the murder of a honeymoon couple and their safari guide in the nation's Queen Elizabeth National Park on October 17. IS claimed responsibility for the attack.

Numerous militia groups and rebels hold sway in eastern DRC despite the presence of peacekeepers.

The Citizen
 
Kila siku hapa munasema waarabu hawawapendi waafrika lakini leo hii hiyo taasisi ya kiarabu IS (kama ipo) ndiyo wanawapa mapesa ya kupigana na waafrika wenzao!!! Propaganda ya kidini inayosambazwa na wenye chuki. Naona siku hizi Al qaida imekwisha sasa ni IS.

Halafu hao wanajeshi wa Uganda wanafanya nini huko Congo?
 
Kila siku hapa munasema waarabu hawawapendi waafrika lakini leo hii hiyo taasisi ya kiarabu IS (kama ipo) ndiyo wanawapa mapesa ya kupigana na waafrika wenzao!!! Propaganda ya kidini inayosambazwa na wenye chuki. Naona siku hizi Al qaida imekwisha sasa ni IS.

Halafu hao wanajeshi wa Uganda wanafanya nini huko Congo?
Wewe hujui kwamba Al Qaeda vinara wote sasa hivi wanaimbiwa taarab na mabikra 72 halafu wanagida Haineken inayotiririka kwenye mito ya ahera.
 
Sasa congo ina waislam wachache sana ila wakristo ndo wengi sana lakini hawajaunda kundi la kigaidi ila waislam wameunda kundi sijui hata linatetea nn Huyu Allah ni jini mla damu nn maana sehem nyingi wafasi wake wanamwaga damu za watu wasio na hatia.
wewe ngosha kweli ubaki na akili yako huko huko Mwanza ndiyo inatosha
 
DRC na Islamic state wapi na wapi wazungu wanakufanyeni wajinga na nyinyi mlivyo mazumbukuku mnakubali.

Makundi yote ya Ugaidi DRC yanadhaminiwa na Wazungu Kwa ajili ya kuiba madini.

Wagalatia huwa mnadanganywa kirahisi sana.
 
Moja kati ya upuuzi kuwahi kuweko kwenye dunia yetu hii..baasi ni hii dini ya kiislamu..yaani had kichefuchefu

IMG_4046.jpg
 
DRC na Islamic state wapi na wapi wazungu wanakufanyeni wajinga na nyinyi mlivyo mazumbukuku mnakubali

Makundi yote ya Ugaidi DRC yanadhaminiwa na Wazungu Kwa ajili ya kuiba madini

Wagalatia huwa mnadanganywa kirahisi sana
kwann nyiny waislam msiwakemee hao ADF ni unafiki huu mnafanya , ipo siku hadi hamas mtawakataa
 
Hiyo sio dini ila ni utamaduni wa kiarabu ndio unaenezwa sasa wenyewe wanaita Islam ili kupoteza maboya. It's the arabized way of life masquerading for a religion.
Hayo makundi ya kigaidi hayana mahusiano yoyote na Uislamu, hayo yanatengenezwa, yanafunzwa na kufadhiliwa na watu na nchi ambazo huwezi zitegemea

Ni logic ovu wanayoitumia kufanya eneo lenye resources muhimu lisiwe na amani ili wawe wanachota for free......Congo ingekua Jagwa ingekua nchi ya amani sana.
 
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu...


Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two civilians and a suspected assailant dead in eastern DR Congo, authorities said on Saturday.
Two truck drivers, a Kenyan and a Congolese, were shot dead Friday night by IS-affiliated Allied Democratic Forces (ADF) at a car park in Kasindi, Beni territory, said Barthelemy Kambale, a North Kivu provincial civil servant.


Utabakia hivyo hivyo kudanganywa na kulishwa matango pori ukweli ni huu hapa


View: https://www.youtube.com/watch?v=Bvi1RAKF0sI


View: https://www.youtube.com/watch?v=KJbMpivPPI4
 
hebu kwanza jiulize jee ilikuwepo hiyo Al Qaeda? Au umeamini jina alilotoa mmarekani kuwabandika aliowataka?
Kikundi waanzishe waarabu wenyewe halafu hadi jina walipe wenyewe tena kwa kiarabu halafu muwasingizie tena Marekani. Nyie mnafikiri watu ni wajinga kihivyo.
 
Sasa congo ina waislam wachache sana ila wakristo ndo wengi sana lakini hawajaunda kundi la kigaidi ila waislam wameunda kundi sijui hata linatetea nn Huyu Allah ni jini mla damu nn maana sehem nyingi wafasi wake wanamwaga damu za watu wasio na hatia.

Nyinyi mnakubali kudanganywa mtu anayekula na kunya na kutawazishwa mavi , aliyecheza na watoto wenzake kuwa ni mungu na mnakubali , kwa lolote jengine sikushangai
 
Utabakia hivyo hivyo kudanganywa na kulishwa matango pori ukweli ni huu hapa


View: https://www.youtube.com/watch?v=Bvi1RAKF0sI


View: https://www.youtube.com/watch?v=KJbMpivPPI4


Hiyo dini yenu hulazimisha ugomvi na dini zote mnaishia kupigwa na kulia lia

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)


Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom