Macron aelekea Kazakhstan na Uzbekistan kusaka Uraniamu

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan.

Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia kukutana na mwenyeji wake raisi Kassym-Jomart Tokaiev na kusaini mikataba mbali mbali ya uwekezaji katika madini ya uraniamu pamoja na kufadhili ujenzi wa nuclear reactor nchini Kazakhstan. Pia watajaribu maswala mengine ya uchumi pamoja na mambo ya usalama.

Ifahamike Kazakhstan ndio nchi unayoongoza kwa uzalishaji wa uraniamu duniani wakati Uzbekistan ikizalisha moja ya tano (1/5) ya madink hayo duniani.

Moja ya matumizi makuu ya uranium ni kuendesha vinu vya kuzalisha nishati ya umeme.

Zaidi ya asilimia 60 ya umeme unaotumika nchini Ufaransa unazalishwa kwa kutumia madini ya uraniamu kutoka katika 56 nuclear reactors zilizopo nchini humo.

Tokea Ufaransa ipoteze ushawishi wake Africa magharibi baada ya mapinduzi yaliyotekea nchini Mali, Burkina Faso, na Niger, mirija yote ya upatikani uraniamu Africa ilikatika, hali iliyopelekea Ufaransa kutuafuta chanzo kingine mbadala.

Screenshot_2023-10-31-07-22-46-762_com.android.chrome.jpg
 
View attachment 2798578
Jee Urusi itaachia maeneo hayo yampatie Ufaransa Uranium wakati Macron ana jeuri sana kuhusu Ukraine?
 
Urusi anajuwa mipaka yake , kufanya hivyo ni kumfanya ufaransa amuone urusi kama adui wa moja kwa moja , kamuachia afrika , akimfuata na ulaya itakuwa ni vita sasa , na Hata Macron atapata support ya ndan ya Ulaya maana wazungu sio kama waafrika , WANAAMIN adui wa jiran yako ni wako pia ila waafrika wanasema adui wa jiran ni rafik yako na ndio maana tunatawaliwa mpk kesho HATUJITAMBUI
 
Anakuja pia Namtumbo.So ata nchi yako nayo inakuja ombwa Uranium
 
Marekani anaenda kukitibua huko
 
Urusi anajuwa mipaka yake , kufanya hivyo ni kumfanya ufaransa amuone urusi kama adui wa moja kwa moja , kamuachia afrika , akimfuata na ulaya itakuwa ni vita sasa , na Hata Macron atapata support ya ndan ya Ulaya maana wazungu sio kama waafrika , WANAAMIN adui wa jiran yako ni wako pia ila waafrika wanasema adui wa jiran ni rafik yako na ndio maana tunatawaliwa mpk kesho HATUJITAMBUI
Kazakhstan sio ulaya.
 
Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan.

Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia kukutana na mwenyeji wake raisi Kassym-Jomart Tokaiev na kusaini mikataba mbali mbali ya uwekezaji katika madini ya uraniamu pamoja na kufadhili ujenzi wa nuclear reactor nchini Kazakhstan. Pia watajaribu maswala mengine ya uchumi pamoja na mambo ya usalama.

Ifahamike Kazakhstan ndio nchi unayoongoza kwa uzalishaji wa uraniamu duniani wakati Uzbekistan ikizalisha moja ya tano (1/5) ya madink hayo duniani.

Moja ya matumizi makuu ya uranium ni kuendesha vinu vya kuzalisha nishati ya umeme.

Zaidi ya asilimia 60 ya umeme unaotumika nchini Ufaransa unazalishwa kwa kutumia madini ya uraniamu kutoka katika 56 nuclear reactors zilizopo nchini humo.

Tokea Ufaransa ipoteze ushawishi wake Africa magharibi baada ya mapinduzi yaliyotekea nchini Mali, Burkina Faso, na Niger, mirija yote ya upatikani uraniamu Africa ilikatika, hali iliyopelekea Ufaransa kutuafuta chanzo kingine mbadala.

View attachment 2798578
DR Congo imeisha? au aje bongo si ipo kibao tu Tunduru Mtwara huko.
 
Alikua anaiba Niger
 
Back
Top Bottom