Vikosi vya Urusi vyawasili nchini Syria

Vikosi vya Urusi vyawasili nchini Syria

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Wakati hali ya kiusalama ikiendelea kuzorota Mashariki ya Kati, Wanajeshi wa Urusi wapatao elfu moja wamewasili leo hii nchini Syria ili kuimarisha usalama nchini humo. Hivi Karibuni Israel alifanya mashambulizi ya makombora katika viwanja vya ndege katika miji ya Damascus na Aleppo.

Hata hivyo, uharibifu huo haukuwazuia Urusi kushuka madege yao ya kivita katika viwanja hivyo.

Hii ni habari mbaya kwa vikundi vya kigaidi nchini Syria vinavyofadhiliwa na Israel, Marekani, na washirika wao.

Lakini pia uwepo wa idadi kubwa ya vikosi vya Urusi hapo Middle East huenda ikawa ni maandalizi ya kujiweka tayari just in case of the outbreak of a 'Big War in the history of mankind'.

Escalation in Syria: Russian Troop Arrival Amidst Tensions

In a recent development this month, a substantial deployment of approximately a thousand Russian troops has been reported to have landed in Syria, marking a significant expansion of the country's military presence in the region.

Despite challenges posed by reported Israeli airstrikes on runways at both the Damascus and Aleppo airports in Syria, the arrival of the troops seems to underline Moscow's persistent commitment to combatting terrorism and securing its strategic interests in the Middle East.

The recent troop transfer comes amidst ongoing conflicts, including the Palestinian-Israeli tensions and the persisting war in Ukraine, indicating Russia's unwavering focus on sustaining its anti-terrorism efforts. and highlighting the depth of Russia's military capabilities in the volatile region.

As tensions continue to simmer in the Middle East, the recent troop deployment has raised concerns over the potential implications for the region's stability and the ongoing geopolitical dynamics.

Source: Slavyangrad

Screenshot_2023-10-28-19-33-16-746_com.twitter.android.jpg
 
⚡️ Reuters: War in Ukraine boosting US defense industry.

The U.S. defense industry has seen increased profits as the U.S. has sought new contracts to refill depleted domestic stockpiles and European countries, wary of Russia, have placed new weapons orders, Reuters reported.
 
Wakati hali ya kiusalama ikiendelea kuzorota Mashariki ya Kati, Wanajeshi wa Urusi wapatao elfu moja wamewasili leo hii nchini Syria ili kuimarisha usalama nchini humo...
watakachofanya NATO ni kupeleka silaha za kutosha na mbaya ukraine tu, urusi dawa yake ni hiyo. pia, vikosi vyake vya hapo syria ni vichache sana vyaweza kumalizwa ndani ya muda mfupi sana.
 
[emoji298]️ Reuters: War in Ukraine boosting US defense industry.

The U.S. defense industry has seen increased profits as the U.S. has sought new contracts to refill depleted domestic stockpiles and European countries, wary of Russia, have placed new weapons orders, Reuters reported.
Huyo kala hasara kubwa sana mpaka sasa kashatumia zaidi ya usd bilioni 250 tangu alipoanza kuisapoti Ukraine
 
Vikosi vya Urusi havijawahi kuwa kikwazo kwa operations za Israel ndani ya Syria. Ikibainika kuna mzigo wa silaha za Iran umeingia basi mission ya Israel inafanyika kuharibu shenena hiyo.

Azerbaijan imeipiga Armenia vikosi vya Urusi vikiwepo hadi wakakubali mgogoro wao wa miaka zaidi ya 30 uishe.
 
Vikosi vya Urusi havijawahi kuwa kikwazo kwa operations za Israel ndani ya Syria. Ikibainika kuna mzigo wa silaha za Iran umeingia basi mission ya Israel inafanyika kuharibu shenena hiyo.

Azerbaijan imeipiga Armenia vikosi vya Urusi vikiwepo hadi wakakubali mgogoro wao wa miaka zaidi ya 30 uishe.
vikosi vya urusi vilienda syria kumlinda Assad, marekani akashambulia na kusambaratisha syria wakati urusi yupo palepale. anachoenda kufanya urusi pale ni kulinda ikulu na rais tu na sio kupigana, hajawahi kusaidia mtu kupigana urusi.
 
Huyo kala hasara kubwa sana mpaka sasa kashatumia zaidi ya usd bilioni 250 tangu alipoanza kuisapoti Ukraine
Hahahaha anakulaje hasara wakati wanapeleka silaha za zamani na nyingine zilizo kwenye maghala Yao ya silaha halafu fedha zinaenda kwenye makampuni ya silaha kutengeneza nyingine kurudishia zile zilizotoka kwenye maghala.

Kaangalie hisa za kampuni ya silaha ya Marekani zilivyopanda.
 
Back
Top Bottom