International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo: 2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. 3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya. 4. Mbowe, Slaa...
14 Reactions
75 Replies
4K Views
Hivi visiwa hugombewa baina ya Iran na falme za kiarabu yaani UAE, sasa Urusi wamejaribu kukingia kifua UAE, mara moja Iran ikamuamuru balozi wa Urusi aje ajieleze.. ========= Iran summoned...
1 Reactions
7 Replies
993 Views
Wanaukumbi. Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
1948–49: Israel dhidi ya mamlaka ya Palestine, vita ya kuikomboa ardhi na kujitafutia uhuru katika ardhi yake ya ahadi. 1956: Vita dhidi ya taifa la Misri baada ya matishio kutoka Misri, Israel...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza? 2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi? 3. Natenyahu yuko njia moja: 4. Joe Biden ni Suala la muda tu. 5. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
615 Views
Leo Mtoto wa Mfalme wa Dubai ametangaza kuwa, Wafanyikazi wote wa Serekali ya Dubai, watapata Bonus kutegemeana na Mafanikio yao kazini. Idadi ya Bunus hiyo ni AED 152,000,000/- sawa US$...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za...
1 Reactions
0 Replies
481 Views
1. Alikiri beberu mwenye vita vyake, uwepo wa mazungumzo makini kuelekea vita kusita na wafungwa kubadilishwa: 2. HaIna shaka kuwa #1 ni pamoja na mbinyo kutokea nyumbani: 3. Ni wajinga peke...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa...
5 Reactions
4 Replies
658 Views
Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Wamehofia kwamba IDF inafanya mpango wa kuwavamia, mpaka sasa wamepoteza wapiganaji 123. ==== Hezbollah has begun withdrawing its specila Radwan forces from southern Lebanon over the weekend...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
ReutersCopyright: Reuters Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga...
24 Reactions
207 Replies
19K Views
Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote...
4 Reactions
10 Replies
861 Views
Kwenye hotuba yake ya kila siku kwa taifa, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameshukuru marubani wa kijeshi waliotungua ndege mbili za kivita za Russia Ijumaa, kwenye mkoa wa Ukraine wa Kherson...
1 Reactions
3 Replies
500 Views
Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani...
3 Reactions
3 Replies
759 Views
Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Sasa sijui itakuaje?Baada ya kanisa takatifu la mitume sasa ni Anglikana Kanisa la Anglikana Uingereza launga mkono huduma kwa wanandoa wa jinsia moja CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanaukumbi.. Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya...
9 Reactions
87 Replies
6K Views
Back
Top Bottom