Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
1948–49:
Israel dhidi ya mamlaka ya Palestine, vita ya kuikomboa ardhi na kujitafutia uhuru katika ardhi yake ya ahadi.
1956:
Vita dhidi ya taifa la Misri baada ya matishio kutoka Misri, Israel ilivamia Sinai Peninsula ikipeleke kukomboa miji kama Gaza. Baada ya kutokea amani Israel iliiachia Sinai.
1967:
Maarufu kama vita ya siku sita, Israel ilivamiwa na Syria, Jordan na Misri. Kwa intelejinsia nzuri na ustadi wa jeshi la IDF, Israel iliweza kuikomboa Israel ndani ya siku sita.
1973:
Misri na Syria ziliivamia Israel katika siku ya takatifu ya Yom Kippur. Israel walipata maafa makubwa sana lakini tena kwa uwezo mkubwa wakaweza kushinda na kuikomboa Israel.
1982:
PLO waliitumia Lebanon kama kificho chao cha kupambana na Israel, hii ilipelekea Israel kuivamia Lebanon. Baada ya makubaliano na Lebanon, walikubaliana kuitoa PLO iliokuwa imepewa hifadhi nchini humo.
2006:
Hezbollah waliweza kufanya mashambulizi dhidi ya Israel kupitia Lebanon. Hii ilipelekea maafa makubwa kwa Israel. Israel iliweza kupambana hadi kuingia Lebanon kusini na kupambana dhidi ya hezbollah. Hii ilipelekea maafa makubwa kwa wananchi wa Lebanon.
☆☆VIVA ISRAEL, VIVA NCHI YA AHADI☆☆