Wanaukumbi.
"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.
Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo...
Repsol ya Uhispania yarejesha udhibiti wa shughuli za mafuta za Venezuela baada ya usimamizi wa Trump kulegeza vikwazo
https://m.youtube.com/watch?v=MW09a3F1yVI
Kampuni kubwa ya nishati ya...
Yesu akamwambia, “Waacheni wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”Luka 9;60
Hayo ni Maneno ya Bwana Yesu.
Magaidi wa Hezbollah wameanza kuzika mizoga yao baada ya...
Jana usiku, IDF ilifanya uvamizi wa kilomita 12 ndani ya Lebanon
Kikosi cha Tzabar kilifanya uvamizi wa kuwashtukiza magaidi wa Hezbollah katika kijiji cha Dabin, kilomita 12 ndani ya Lebanon...
Vita vya Iran vyachangia kupanda kwa bei ya kondomu
Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au...
Tafadhali soma ujumbe husika
Iran supreme leader Mojtaba Khamenei:
“In today's critical circumstances, preserving and promoting the spirit of jihad and revolution must be considered the essence...
Serikali ya Korea Kusini imekuja na mpango mpya wa kusaidia wananchi wake kupata mtandao (internet) kwa gharama nafuu na kama haki ya msingi. Hapa kuna maelezo kwa lugha rahisi:
Internet ya Bure...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema:
“Marekani itachukua ‘vumbi’ lote la nyuklia (nuclear dust) lililozalishwa na mabomu yetu makubwa ya B-2,” akirejelea hifadhi ya Iran ya kilo 400 za...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC), tawi muhimu la jeshi la Iran, limezuia uteuzi wa Rais Masoud Pezeshkian na kuweka kile vyanzo vilivyotajwa kama uzio wa kiusalama karibu...
Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya.
Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya...
Mahojiano maalumu na former U.S secretary of defence general Lloyd James Austin III kuhusu vita vya Israel & U.S dhidi ya Iran
.Mabadiliko ya mbinu za kisasa kuhusu mapigano ya vita
. Je, Iran...
Meli tatu zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa IRGCC ikiwa mlango wa Hormuz ukiendelea kufungwa.
Meli iliyokuwa na bendera ya Panama ikitokea kwenye bandari ya Saudi Arabia na kuelekea...
Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano...
Katika njia ya mbio ya kilomita 21, zaidi ya roboti mia moja zilikimbia kwa hatua zisizoratibiwa vizuri. Nyingine ziliyumba kama walevi, nyingine zilikimbia kama walikuwa wakikimbilia kazini...
Mamlaka nchini Nigeria zimewashtaki watu sita, akiwemo meja jenerali mstaafu na inspekta wa polisi anayeendelea na kazi, kwa makosa ya ugaidi na uhaini, kuhusiana na njama inayodaiwa ya kumpindua...
Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati
Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo...
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda
Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka...
Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.