International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maafisa wa Iran wapo Islamabad kwa kutia saini makubaliano na Marekani: Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema “vita havina faida kwa yeyote, na wakati tukisimama imara dhidi ya vitisho, kila...
2 Reactions
8 Replies
255 Views
Rais Trump alisema meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iitwayo TOUSKA ilijaribu kupenya vizuizi vya majini vya Marekani na ilikamatwa na meli ya USS Spruance katika Ghuba ya Oman. Baada ya...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Magaidi 100 wa Hezbollah Wazingirwa huko Bint Jbeil Katika mji mkuu wa Kusini mwa Lebanon wa Bint Jbeil, ambao uko kilomita 2.5 kutoka mpaka na Israeli, takriban magaidi 100 wa Hezbollah kwa sasa...
1 Reactions
21 Replies
362 Views
Waziri wa Kazi, Lori Chavez-DeRemer, ameondoka katika Baraza la Mawaziri la Rais Donald Trump, Ikulu ya Marekani imetangaza Aprili 20, 2026, kufuatia tuhuma kadhaa za kutumia vibaya madaraka yake...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Apple, Tim Cook, amejiuzulu kutoka wadhifa aliourithi kutoka kwa marehemu Steve Jobs, akihitimisha takriban miaka 15 ya uongozi ulioshuhudia thamani ya kampuni hiyo...
3 Reactions
3 Replies
250 Views
  • Redirect
Mkurugenzi Mtendaji wa Apple, Tim Cook (65) amejiuzulu nafasi hiyo. Cook amehudumu kama CEO tangu mwaka 2011 aliporithi nafasi hiyo kutoka kwa Steve Jobs.ll
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Iran ya leo siyo Iran ya jana, ona ona.... Imejawa na maumivu... Sisi watu wake tumebaki KUJITUTUMUA.
0 Reactions
Replies
Views
Jitihada za Marekani na Israeli dhidi ya Iran "hazijaisha bado," anasema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika hotuba yake pamoja na Rais wa Argentina Javier Milei. "Wakati wowote unaweza...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
4 Reactions
11 Replies
449 Views
Waziri Mkuu wa Benjamin Netanyahu na Rais wa Argentina Javier Milei wamezindua “Makubaliano ya Isaac” mjini Jerusalem, yakilenga kuweka mfumo wa kuimarisha uhusiano kati ya Israel na nchi za...
3 Reactions
9 Replies
220 Views
Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika...
8 Reactions
33 Replies
636 Views
Siku ya Ijumaa, Aprili 17, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, alitangaza kupitia mtandao wa X kuwa Mlango wa Hormuz uko "wazi kabisa" kwa meli zote za kibiashara. Alidai uamuzi huo...
2 Reactions
20 Replies
470 Views
  • Redirect
Kondo wengi tunajiita wana Israel na tunaliona kua taifa teule la umuungu na tuna peperusha bendera za Israel katika majumba yetu kwenye magari na maofisini kwetu, sasa inakua je ku dhalilisha na...
1 Reactions
Replies
Views
Mamia ya Meli za Mafuta Zinazohusishwa na Iran Bado Zinafanya Kazi Licha ya Vikwazo vya Marekani Kampuni ya kijasusi ya baharini ya Marekani TankerTrackers inaripoti kwamba idadi kadhaa ya meli...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Baba amewaua kwa risasi watoto wake 7 pamoja na mtoto mmoja asiye wa familia yake, wenye umri kati ya mwaka 1 hadi miaka 14, katika Jimbo la Louisiana nchini Marekani, chanzo kikielezwa kuwa ni...
0 Reactions
12 Replies
332 Views
Headline Nurses Announce Three-Day Strike Set for 20–22 April Over Pay and Working Conditions News Report (International Audience) Nurses have announced a three-day nationwide strike scheduled...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la...
20 Reactions
140 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha...
4 Reactions
22 Replies
619 Views
Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa...
3 Reactions
12 Replies
339 Views
Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa...
9 Reactions
60 Replies
1K Views
Back
Top Bottom