Mashambulizi ya helikopta ya kijeshi yanaendelea katika mji mkuu kufuatia msururu wa mashambulizi ya alfajiri yaliyolenga viongozi wa karibu wa utawala wa kijeshi (junta).
Mapigano makali na...
Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO
.
10 minutes ago
White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News
The man who opened fire outside the White House...
Viongozi wa chama Cha upinzani Taiwan walienda kumuona rais wa china na kufanya nae mazungumzo katikati ya mwenzi huu wa aprili 2026.
Kushuka Kwa ushawishi wa Marekani ndio anguko lenyewe.
Watu...
‼️ MPYA:
Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran.
"Ikiwa wanataka kuzungumza...
Iran dhidi ya Israel kabla hujasoma maelezo angalia ramani uone ukubwa wa Iran then ulinganishe na nchi Takatifu ya Israel!!
Mnamo 1976, Pato la Taifa la Iran lilikuwa dola bilioni 76 na la...
Wanaukumbi.
Chombo cha habari cha Iran Tasnim kinaripoti kwamba Iran haijawahi kuomba mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani, ikipinga moja kwa moja madai yaliyotolewa na katibu wa habari wa Ikulu...
Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha...
Sasa rasmi Trump amesema Iran imeipa Marekani njia salama ya kupitisha meli kadhaa za mafuta kupitia Hormuz — maafisa waambia ToI
Meli za mafuta na meli za mizigo zimejipanga katika Mlango wa...
Shambulio lililolengwa na Israeli lilipiga kituo cha polisi cha Hamas huko Sheikh Radwan, kaskazini mwa Gaza. Angalau magaidi 2 waliuawa na wengine 3 walijeruhiwa vibaya kwa kufumuliwa makalio yao...
Wadau, hali ni yeye muda wowote vita inaanza tena🛡️ MULTIPLE COUNTRIES URGE CITIZENS TO LEAVE IRAN; U.S. DEPLOYS THREE AIRCRAFT CARRIERS AND REGIONAL DIPLOMACY INTENSIFIES
‼️ GLOBAL EVACUATION...
Mkuu wa IEA Apendekeza Bomba Jipya la Mafuta Kupita Hormuz
Mkurugenzi Mtendaji wa IEA Fatih Birol amependekeza kujengwa kwa bomba jipya kutoka mashamba ya mafuta ya Basra nchini Iraq hadi kituo...
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Niliwaahidi kwamba tutabadilisha sura ya Mashariki ya Kati - na ndivyo tunavyofanya. Kwanza kabisa, nchini Iran: Nilikuwa na mazungumzo mazuri na Rais...
Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa...
Kuna taarifa zinasikika kuhusu Iran kwamba wamewapa muda marekani kuondoka hapo walipoweka wao kizuizi la sivyo wataamua kujenga ukuta wa zege kabisa ili iwe kazi kubwa kuufungua hata kama...
Wanaukumbi.
Hivi karibuni tutajibu wizi wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani
Marekani, kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano na kushiriki katika uharamia wa baharini, ilifyatua...
Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi?
Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa...
Matokeo na Hitimisho la Uchunguzi Kuhusu Mwenendo wa Askari wa IDF Aliyeharibu Alama ya Kikristo Kusini mwa Lebanon
Uchunguzi uligundua kuwa wakati wa shughuli za IDF katika eneo la kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.