International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. Hivi karibuni tutajibu wizi wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani Marekani, kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano na kushiriki katika uharamia wa baharini, ilifyatua...
1 Reactions
209 Replies
2K Views
Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Matokeo na Hitimisho la Uchunguzi Kuhusu Mwenendo wa Askari wa IDF Aliyeharibu Alama ya Kikristo Kusini mwa Lebanon Uchunguzi uligundua kuwa wakati wa shughuli za IDF katika eneo la kijiji cha...
2 Reactions
49 Replies
741 Views
Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, amesema Taifa lake liko tayari kupambana endapo Marekani itachukua hatua za Kijeshi, licha ya kusisitiza kuwa hawatamani vita. Akizungumza katika mkutano mkubwa...
6 Reactions
27 Replies
616 Views
Kwa miongo kadhaa, vichwa vya habari vya Iran na nchi za kiarabu viliendelea kuahidi kuangamizwa kwa Israeli. Wataalamu kutoka Iran na nchi za kiarabu walisema Taifa la Israel haliwezi kudumu...
3 Reactions
54 Replies
771 Views
Zimbabwe and Botswana have agreed in principle to allow their citizens to cross between the two countries using national identity cards instead of passports, in a move aimed at easing movement of...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika. Bei zimepanda kwa takribani...
1 Reactions
5 Replies
405 Views
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Edgar Lungu alisema hataki mrithi wake kwenye mazishi yake au "popote karibu" na mwili wake Mahakama ya Afrika Kusini imetoa amri ya kuurudisha...
2 Reactions
7 Replies
298 Views
Panama ililaani "kukamatwa kinyume cha sheria" kwa meli ya MSC Francesca baada ya kuchukuliwa na Iran ilipokuwa ikisafiri karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz. Meli hiyo, iliyokuwa ikipeperusha...
2 Reactions
11 Replies
216 Views
Mwana mfalme wa Iran aliye uhamishoni, Reza Pahlavi, amemwagiwa majimaji mekundu Alhamisi wakati akitoka kwenye jengo moja mjini Berlin. Pahlavi alikuwa ndiyo kwanza ametoka kwenye mkutano na...
1 Reactions
5 Replies
304 Views
Serikali ya Uingereza imethibitisha kuwa taarifa za kiafya za watu 500,000 waliojitolea kwenye mradi mkubwa wa utafiti (UK Biobank) ziliwekwa sokoni kwa ajili ya kuuzwa kupitia mtandao wa Alibaba...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameliamuru Jeshi la Majini "kupiga na kuua" boti zozote za Iran zinazotega mabomu katika Mlango-bahari wa Hormuz. Mazungumzaji mkuu wa Iran amesema kuwa Tehran...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Maelezo ya picha,John Phelan akiwa na Donald Trump Katibu wa Jeshi la Wanamaji la Marekani John Phelan anaondoka katika utawala wa Trump, imetangaza Pentagon siku...
1 Reactions
4 Replies
231 Views
Jeshi la Polisi nchini Malawi limemkamata aliyekuwa Waziri wa Fedha siku ya Jumapili, akituhumiwa kwa utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi. Hatua hii ni sehemu ya msako unaoendelea baada...
1 Reactions
10 Replies
255 Views
Baada ya drama za kutosha kuna jambo jipya limejitokeza. Tetesi zinasema mwili wa hayati Rais wa Zambia hauonekani ulipohifadhiwa huko Afrika kusini. Msemaji na Mwanasheria wa familia ya Lungu...
4 Reactions
9 Replies
364 Views
Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump. Anataka haki kamili na sio vitisho. Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal. Marekani anataka...
10 Reactions
10 Replies
450 Views
Zimbabwe’s fast-growing influencer economy is facing a major regulatory shift, as authorities move to bring online earnings into the formal tax system. The Zimbabwe Revenue Authority (ZIMRA) has...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Uchaguzi wa Hungary umekwisha na aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 16, Viktor Orban, kipenzi cha Trump na Putin, na mwiba mkali kwa European Union na Ukraine amepigwa chini vibaya sana. Kwenye...
14 Reactions
45 Replies
1K Views
Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo...
6 Reactions
38 Replies
929 Views
Back
Top Bottom