International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la...
20 Reactions
140 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha...
4 Reactions
22 Replies
619 Views
Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa...
3 Reactions
12 Replies
339 Views
Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa...
9 Reactions
60 Replies
1K Views
Wakati wa mazoezi ya sherehe ya kuwasha mwenge wa Siku ya Uhuru, Rais wa Argentina akiimba kwenye onyesho la zoezi hilo. Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwashwa na Rais huyo wa Argentina siku ya...
2 Reactions
2 Replies
135 Views
Meli zinazotaka kupita Hormuz masharti ni ziwe kutoka nchi rafiki ambazo hazikuiunga mkono Marekani au Israel dhidi ya Iran. Na ni lazima zilipe ada kwa sarafu ya Kichina (Yuan) au crypto kabla...
11 Reactions
22 Replies
653 Views
Ziara ya angani kutumia Drone huko Bint Jbeil -Lebanon kusini. ngome ya Hezbollah huko Lebanon, inaonyesha mji huo baada ya IDF kufanya Ukarabati mdogo huko. Kifaru cha IDF kinaweza kuonekana...
0 Reactions
6 Replies
263 Views
Kwa muda mrefu Papa mkuu wa kabisa katoliki duniani "Pope Leo" ambaye ni Mmarekani amekuwa mstari mbele kukemea mauaji na vita mbalimbali zinaondelea duniani mfano Gaza alikemea Hamas, mauaji...
13 Reactions
103 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters Jumamosi, kikielezea hatua hiyo kama...
7 Reactions
103 Replies
2K Views
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa...
32 Reactions
151 Replies
5K Views
Uingereza imesisitiza hivyo baada ya Iran kuomba mazungumzo kuwa wabadilishane meli kila pande iliyoteka, "We are not going to barter: if people or nations have detained UK-flagged illegally then...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Iranian navy took a British ship named STENA IMPERO as hostage. I'm seeing her with my eyes, she's 12 miles away from me. I'm hearing whole conversations in VHF between Iranian navy and British...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
IRAN WAR - THE MOST POWERFUL BUSINESS EMPIRE IN THE WORLD WAS BUILT UNDER SANCTIONS (You'll love reading this, don't miss it.) In 1979, a revolution happened in Iran. The new government needed...
7 Reactions
9 Replies
342 Views
Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya...
3 Reactions
7 Replies
320 Views
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa...
39 Reactions
135 Replies
5K Views
kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will. Hii ilikuwa zaidi...
24 Reactions
82 Replies
4K Views
Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10...
4 Reactions
10 Replies
335 Views
Wakati vita inaendelea kuna mchezo hajaangizwa macho vya kutosha. Na kupitia mchezo huu baada ya vita mashariki ya kati itabadilika. Ni miaka kadhaa pamekuwepo na mbinu za Israel kuziaminisha...
4 Reactions
29 Replies
926 Views
Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua...
0 Reactions
6 Replies
209 Views
Back
Top Bottom